Uchaguzi 2020 Vyama vingi vina faida, Asante Mwalimu Julius Nyerere

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Huwa nasikia walipopiga kura kuamua vyama vingi ni 20% waliokubali ila Nyerere akasema hiyo 20% ni kubwa sana.

Tanzania imepiga hatua sana baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.

Leo hii huwezi kuamini CCM wanavyotoa jasho kutafuta kura huku wakiwa na uhakika wa kushindwa uchaguzi pamoja na vurugu na uonevu wote waliofanya kuanzia 2015.

Kitendawili ni hiki.

CCM wanahangaika kutafuta waoiga kura wakati wapiga kura wanahangaika kumtafuta mgombea Urais kupitia Chadema Ndugu Tundu Lissu. Kama siyo vyama vingi haya madudu ya CCM tungeyasikia wapi?

Kama CCM ya awamu ya 5 iliyojinasibu kwa utakatifu ina madudu hadi wanaCCM wenyewe wanayaogopa, je kungekua na chama kimoja ingekuaje?

Siku zinakuja wananchi tunakapokuwa na nguvu kuliko hata majeshi.. na siku hizo zipo karibu sana.

IMG_20200921_233004.jpeg
 
Back
Top Bottom