Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Ni utamaduni wetu na imezoeleka pale inapotokea kiongozi wa chama fulani cha siasa anaumwa viongozi wenzake huenda kumpa pole au kumjulia hali.
Magufuli aliwahi kwenda kumuona Maalim Seif. Magufuli aliwahi kwenda kumuona Sumaye viongozi wa upinzani waliwahi kwenda kumjulia halo Marehemu Samweli Sita. N.k
Sasa iweje Kinana anaumwa kwa miezi miwili sasa halafu hakuna kiongozi hata mmoja wa chama chochote cha siasa anayerushwa na vyombo vya habari akiwa nyumbani kwa kinana kwenda kumjulia hali?