Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,689
- 3,442
..ni kama yafuatayo..
Udini....
Ukabila...
Wivu...
Chuki binafsi...
Umimi.....
Ukanda.....
Hapa ndiyo napata taabu,kwamba chadema ipo kanda moja au,dini moja na ya kabila moja au machache na kwamba kabila hilo,kanda hiyo na dini hiyo haiwezekani wakawa chama tofauti na hao wenzao..! Nilikuwa nawaza tu...