Vyama Mfu na jingle mpya ya UKAWA

Vyama Mfu na jingle mpya ya UKAWA

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,562
Reaction score
48,911
How sad..

Muungano wa Vyama MFU...

CUF....Ilishajifia kitambo sana..juhudi za kufufuka..ni UKAWA..

CHADEMA...imejifia hivi majuzi...ipo katika mbinu za kujifufua tena....

NCCR How sad?? wanatimiza wajibu wao tu wa kuwa chama cha upinzani...lakini hapo walipo hawatakuwa kwa muda mrefu kwani watagundua kua wanatumika na wenzao waliokwisha kufa na kuoza na wakitambua kwamba harufu yao inaweza waharibia image yao publicly..so itajitoa haraka sana..

ni vyema tukawaepuka hawa waliojifia tayari wasijetuambukiza , mabalaa yao yalio waua kisiasa...ni kama yafuatayo..

Udini....

Ukabila...

Wivu...

Chuki binafsi...

Umimi.....

Ukanda.....

hayo ndiyo mambo yaliyoviua vyama tajwa hapo juu...

Chonde chonde msituambukize hayo magonjwa yenu...

Wananchi nawaasa mjitenge nao...

Wananuka harufu mbaya ya yaliyotajwa hapo juu...

Mungu Ibariki Tanzania moja yenye Tanganyika na Zanzibar salama.

Happy 50th Birthday!!
 
Kumbe maboga bado yapo humu... naona kichwa chako kimejaa maji au pilau ya ccm na buku mbili basi huna lolote
 
CUF has already been pronounced dead, Chadema is no more as we speak, NCCR is in a critical condition and soon to be pronounced dead..
Kweli mkuu cuf ilishakufa kwa mda mrefu sana kama unakumbuka walishindwa kufanya hata uchanguzi wa ndani ya chama kwa ngazi ya wilaya na mikoa kwa kukosa wapiga kura na watu wa kugombea.
 
How sad..

Muungano wa Vyama MFU...

CUF....Ilishajifia kitambo sana..juhudi za kufufuka..ni UKAWA..

CHADEMA...imejifia hivi majuzi...ipo katika mbinu za kujifufua tena....

NCCR How sad?? wanatimiza wajibu wao tu wa kuwa chama cha upinzani...lakini hapo walipo hawatakuwa kwa muda mrefu kwani watagundua kua wanatumika na wenzao waliokwisha kufa na kuoza na wakitambua kwamba harufu yao inaweza waharibia image yao publicly..so itajitoa haraka sana..

ni vyema tukawaepuka hawa waliojifia tayari wasijetuambukiza , mabalaa yao yalio waua kisiasa...ni kama yafuatayo..

Udini....

Ukabila...

Wivu...

Chuki binafsi...

Umimi.....

Ukanda.....

hayo ndiyo mambo yaliyoviua vyama tajwa hapo juu...

Chonde chonde msituambukize hayo magonjwa yenu...

Wananchi nawaasa mjitenge nao...

Wananuka harufu mbaya ya yaliyotajwa hapo juu...

Mungu Ibariki Tanzania moja yenye Tanganyika na Zanzibar salama.

Happy 50th Birthday!!
Mashetani wa CCM bado mnaharisha tu!! Bungeni sasa hivi ni maigizo tu!! hakuna Bunge!! Bye bye mafisi ya CCM
 
Kumbe maboga bado yapo humu... naona kichwa chako kimejaa maji au pilau ya ccm na buku mbili basi huna lolote
Mkuu wewe unasifa gani ya kumtukana mwenzako we kitasa kweli wewe mwenyewe kichwa box huna hata unachojua cha kujivunia.
 
Mashetani wa CCM bado mnaharisha tu!! Bungeni sasa hivi ni maigizo tu!! hakuna Bunge!! Bye bye mafisi ya CCM
Roho inakuuma sana mkuu kwa kuona bunge linafanikiwa kwa hoja zenye mashiko na zenye maslahi kwa taifa.
 
How sad..

Muungano wa Vyama MFU...

CUF....Ilishajifia kitambo sana..juhudi za kufufuka..ni UKAWA..

CHADEMA...imejifia hivi majuzi...ipo katika mbinu za kujifufua tena....

NCCR How sad?? wanatimiza wajibu wao tu wa kuwa chama cha upinzani...lakini hapo walipo hawatakuwa kwa muda mrefu kwani watagundua kua wanatumika na wenzao waliokwisha kufa na kuoza na wakitambua kwamba harufu yao inaweza waharibia image yao publicly..so itajitoa haraka sana..

ni vyema tukawaepuka hawa waliojifia tayari wasijetuambukiza , mabalaa yao yalio waua kisiasa...ni kama yafuatayo..

Udini....

Ukabila...

Wivu...

Chuki binafsi...

Umimi.....

Ukanda.....

hayo ndiyo mambo yaliyoviua vyama tajwa hapo juu...

Chonde chonde msituambukize hayo magonjwa yenu...

Wananchi nawaasa mjitenge nao...

Wananuka harufu mbaya ya yaliyotajwa hapo juu...

Mungu Ibariki Tanzania moja yenye Tanganyika na Zanzibar salama.

Happy 50th Birthday!!

Niliowasikia bungeni walikuwa na mipasho ya udini na ukabila ni wajumbe wa CCM?Sasa sijui kama unachokisema ni sawa,watanzania siyo wale wa juzi,acheni ukabila,Tanzania yetu sote bila kujali itikadi,dini wala kabila la mtu.Tumechoka na hizo ngonjera za udini na ukabila,ni mawili aitha mvifute vyama vya siasa au mvikubali kwa moyo wenu wote kwamba vipo na havivunji sheria.Tunaomba for the sake of our country STOP ubaguzi huu,hauijengi Taifa letu bali unatugawa bila sababu za msingi.
 
katika harakati za kutafuta uhuru nyerere alisema tuunganishe vyama,mm sishangai vyama ulivyo vitaja kuunga ktk kudai tanganyika yetu!
 
Mkuu wewe unasifa gani ya kumtukana mwenzako we kitasa kweli wewe mwenyewe kichwa box huna hata unachojua cha kujivunia.

msamehe bure he might be suffering from a mental disorder, lazima atukane
 
How sad..

Muungano wa Vyama MFU...

CUF....Ilishajifia kitambo sana..juhudi za kufufuka..ni UKAWA..

CHADEMA...imejifia hivi majuzi...ipo katika mbinu za kujifufua tena....

NCCR How sad?? wanatimiza wajibu wao tu wa kuwa chama cha upinzani...lakini hapo walipo hawatakuwa kwa muda mrefu kwani watagundua kua wanatumika na wenzao waliokwisha kufa na kuoza na wakitambua kwamba harufu yao inaweza waharibia image yao publicly..so itajitoa haraka sana..

ni vyema tukawaepuka hawa waliojifia tayari wasijetuambukiza , mabalaa yao yalio waua kisiasa...ni kama yafuatayo..

Udini....

Ukabila...

Wivu...

Chuki binafsi...

Umimi.....

Ukanda.....

hayo ndiyo mambo yaliyoviua vyama tajwa hapo juu...

Chonde chonde msituambukize hayo magonjwa yenu...

Wananchi nawaasa mjitenge nao...

Wananuka harufu mbaya ya yaliyotajwa hapo juu...

Mungu Ibariki Tanzania moja yenye Tanganyika na Zanzibar salama.

Happy 50th Birthday!!

Baada ya kukufanyia uchunguzi
 
Attachments

  • 10171025_c.jpg
    10171025_c.jpg
    8.9 KB · Views: 463
Mbowe na Elimu yake ndogo amepiga mahesabu akaona UKAWA itawarahishia malengo yao ya kuingia ikulu. kumbe ni ndoto za mchana.
 
Nadhani hujui kwamba majority ya waTanzania hawana vyama ila wangependa mbadala na wamechoshwa na chama Tawala.., bado tu hawajaona alternative.., kwahio kama watu wowote wajiunga kuipinga CCM ambayo honestly haikidhi shida za wananchi basi neno upinzani litakuwa linasemwa kama prefix ya CCM, angalau mpaka pale hao wapinzani watakapo/au wakishindwa kazi
 
How sad..

Muungano wa Vyama MFU...

CUF....Ilishajifia kitambo sana..juhudi za kufufuka..ni UKAWA..

CHADEMA...imejifia hivi majuzi...ipo katika mbinu za kujifufua tena....

NCCR How sad?? wanatimiza wajibu wao tu wa kuwa chama cha upinzani...lakini hapo walipo hawatakuwa kwa muda mrefu kwani watagundua kua wanatumika na wenzao waliokwisha kufa na kuoza na wakitambua kwamba harufu yao inaweza waharibia image yao publicly..so itajitoa haraka sana..

ni vyema tukawaepuka hawa waliojifia tayari wasijetuambukiza , mabalaa yao yalio waua kisiasa...ni kama yafuatayo..

Udini....

Ukabila...

Wivu...

Chuki binafsi...

Umimi.....

Ukanda.....

hayo ndiyo mambo yaliyoviua vyama tajwa hapo juu...

Chonde chonde msituambukize hayo magonjwa yenu...

Wananchi nawaasa mjitenge nao...

Wananuka harufu mbaya ya yaliyotajwa hapo juu...

Mungu Ibariki Tanzania moja yenye Tanganyika na Zanzibar salama.

Happy 50th Birthday!!

na mtaongea sana , gamba ww
 
CUF has already been pronounced dead, Chadema is no more as we speak, NCCR is in a critical condition and soon to be pronounced dead..

Kama vyama vilitengeneza UKAWA ni MFU i.e CDM + CUF + NCCR = UKAWA Je vyama vilivyoungana na CCM kupinga UKAWA vitakuwa nini? CCM + NLD + CCJ + TADEA + CHAUSTA + JAHAZI. Is this not a case of a kettle calling a pot BLACK!
 
Back
Top Bottom