Ni lunch time naenda kupata msosi sehem. Ugali unatolewa toka
mfuko mweusi ulio ndani ya sufuria lililo juu ya moto. Naangalia tu najiambia siku nyingine sitakula tena. Hali ni hiyo hiyo kwa wali ambao hufunikwa kwa mfuko mweusi wa plasiki uive fasta. Hakika tunadhurika wengi na tunadhurika sana.