Vyakula vya kuzuia magonjwa na kuzeeka

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Ukitaka kubaki kijana na nguvu zako zote na pia kuwa na sura yako isiyozeeka na pia kutougua mara kwa mara basi tumia vyakula vifuatavyo: na hata kama ni mzee vyakula hivi vinauwezo wa kukufanya uwe kijana tena na kufurahia ujana wako bila kikomo.

Vyakula vyenye faida zaidi kupita vyote mwilini mwako (List Of Super Foods)
  1. Red wine, water, and green tea
  2. Avocado, broccoli, onions, peppers, soy, spinach, and sprouts, hot peppers, leeks, daikon radishes
  3. Açai, apples, blueberries, pomegranates, pumpkin, kiwi, oranges,and tomatoes
  4. Wild salmon, turkey, eggs
  5. Beans, barley, seeds, nuts, lentils, oats, walnuts and buckwheat
  6. Cinnamon, dark chocolates, garlic, honey, extra virgin olive oil ("cold pressed"), sea salt, yogurt & kefir
  7. Sea vegetables, irish moss, umeboshi plums, wheat grass, miso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom