Vyakula vya Kichina: Niulize chochote

Kiongozi hio picha ya pili mbona ni kama anakula mtoto?

Halafu wanaokula mbwa nilisikia ni Vietnam .. kumbe na Chinese wanakuka dogii?
 
Kiongozi hio picha ya pili mbona ni kama anakula mtoto?

Halafu wanaokula mbwa nilisikia ni Vietnam .. kumbe na Chinese wanakuka dogii?
Kuna mkanganyiko wengine wanasema ni halisi wengine wanasema ni maigizo! Ila ukweli ni kwamba hayo mambo yapo sana huko China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…