Vyakula nitavyokula leo Pasaka

Vyakula nitavyokula leo Pasaka

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,109
Reaction score
8,066
Heri ya Pasaka wana JF.

Katika sherehe hizi za Pasaka nimeona ni vema ku share nanyi Ratiba yangu ya menu kwani mke wangu ameahidi na kunihakikishia kuwa vyakula atavyopika siku ya leo vitakuwa tofauti kabisa na nilivyovizoea.

Asubuhi nimefungua kinywa na kahawa na Easter chocolate eggs filled with cheesecake .

Msema kweli mpenzi wa Mungu hivi vidude ndio nakula kwa mara ya kwanza tokea nimezaliwa.

b230e4e.jpeg


Saa tano ameniahidi kuna mapochopo before lunch. Leo sichezi mbali.

Stay tuned..
 
Ushawahi kwenda vyoo vya wahindi Vina harufu tofauti na vyoo vyetu waswahili.Sasa kuanzia leo na kesho Chooni kwako ukimaliza kukata googoo kutakua na Harufu ya vyoo vya Uhindini
 
Waungwana nimeshtukizwa na hii supu baada ya kurudi kutoka church; wife ananimbia inaitwa sijui Broccoli cheese soup

Stay tuned...

df589db.jpeg
 
anakuandaa kisaikolojia afu baadae ushindwe kuperform kitandani sasa ....

napita
Mkuu ur right. Hapa Baada ya lunch tu ni kidalipoo. Leo hatuna mpango wa kutoka kabisa. Ni kula na ku… tu.
 
Na wewe umwandalie mambo mapya
Kwenye chakula cha ndoa..
Au mvute mara moja umpe cha fasta.
naam.. Uzuri tupo wawili tu leo ngoja nimuibukie jikoni huko huko.

Stay tuned…
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom