Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Hello wadada na wakaka wa JF,
Leo nilikua naomba tupeane maarifa juu ya vyakula natural vinavyo boost hamu ya kufanya mapenzi, lol hasa kwa wanawake nimeona divorces, nyingi ni pale mke anapofika umri wa 40-50.
Nimeconclude, hiki ni kipindi kile wanawake wanakaribia kufika ukomo wa hedhi hivyo hormones zinazoleta hamu ya kufanya mapenzi, zinaanza kupotea taratibu sio tu hivyo, hii hali inaweza kuleta matatizo mengine kama depression, agitation etc.
Ukifikiria kwa makini hii hali,inaweka strain kwenye ndoa nyumbani,wababa ndio wanaanza kutafuta muda wa kuchepuka, lol.
Dawa ya kuwaacha wakaka wakae nyumba kuu, ni kuwa nasupplement, zinazotufanya tu kwichi kwichi mpaka na sie tuwe na umri wa miaka 70, lol
Karibuni kwa mawazo.