Vyakula hatarishi kwa mtu mwenye acid reflux

Vyakula hatarishi kwa mtu mwenye acid reflux

Mista mwani

New Member
Joined
Mar 14, 2025
Posts
2
Reaction score
4
Baadhi ya vyakula hulegeza misuli ya LES (Lower Esophageal Sphincter) hivyo husababisha kuruhusu asidi ya tumbo kurudi juu.
Pia huchelewesha mmeng’enyo wa chakula, hivyo chakula hubaki tumboni kwa muda mrefu zaidi.

Kwa mwenye changamoto ya acid reflux inamlazimu ache kutumia vyakula hivyo.

Baadhi ya vyakula vinavyoweza kusababisha acid reflux ni hivi:

• Vyakula vya kukaanga (mafuta mengi)
• Maharage, kunde, njugu
• Vyakula vya ngano nyeupe (chapati n.k)
• Chipsi na vitafunwa vya viwandani
• Viungo vikali kama pilipili (nyeusi, nyeupe, au cayenne) na chili powder
• Nyama nyekundu (ng'ombe n.k)
• Mchuzi wenye nyanya nyingi (tomato sauce)
• Matunda ya asili ya asidi kama machungwa, ndimu, na grapefruit
• Chokoleti
• Wali.
• Vinywaji vyenye gesi kama soda

NB: kuwa na utaratibu wa kujichunguza ukiona chakula flani ukila kinakuletea shida mwilini ni bora ukakiwacha.

Kwa kufanya mabadiliko haya madogo ya lishe na ratiba ya kula, unaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la kurudi kwa asidi ya tumbo.

0674060986 Kwa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom