unawezaje kula maziwa na samaki kwa mfanoAina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula.
Mtu mmoja anaweza kula sawa na kwa urahisi, ila kwa mwingine kikageuka sumu.
Hali hii huchochewa zaidi na matokeo ya baadae pale unaposhindwa kuweka mchanganyiko sahihi na wenye afya zaidi .
Kila aina chakula ina faida zake, ila kinapochanganywa kinaweza kusababisha shida kwa mtu.
Kwa watu ambao wanataka kuchanganya lishe ili kupunguza unene na vichocheo vyake ni vyema kushauriana na wataalamu jinsi ya kupanga lishe bora.
Mtaalam wa lishe wa Nigeria Habiba Haruna alizungumzia kuhusu aina sita za vyakula ambazo zinaweza kuwa sumu kwa mtu yeyote.
Samaki na Maziwa
Samaki na Maziwa ni vyakula vyenye virutubisho lukuki na kuvichanganya katika sehemu moja vinaweza visiwe na uwezo wa kutengeneza virutubisho sahihi na hii inaweza kuleta shida baadaye.
Mwili wa binadamu hauhitaji vyakula vya aina tofauti vyenye kemikali za aina moja kuchanganywa. Huweza kusababisha sumu itakayopelekea mtu kutapika na hata kuharisha.
Maji ya limao na Maziwa
Maziwa na limao huwa haviwezi kukaa sehemu moja kwani vikichanganywa lazima maziwa yaweze kukatika.
Ikiwa mtu atachanganya maziwa na maji ya limao anaweza kutengenezea sumu, vilevile yanaweza kuleta shida katika moyo.
Karanga na Mafuta ya mzeituni
Karanga ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binadamu na hutumika katika sehemu nyingi sana.
Pia karanga ina kiwango kikubwa sana cha protini na wanga, vilevile Karanga ni moja ya virutubisho muhimu katika lishe, haswa kwa wale ambao wanataka kupunguza uzito.
Kwa mafuta ya mzeituni yanamsaada mkubwa pia hasa katika masuala ya tiba kwa baadhi ya magonjwa, lakini mchanganyiko wa mafuta hayo na karanga yanaleta shida ila inashauriwa kutumika pale moja inapokosekana lakini sio kwa pamoja.
Dawa pamoja na sharubati ya limao
Kuchukua dawa na kuchanganya na kitu chenye gesi ina madhara makubwa, wataalamu wanasema kuwa kunywa dawa na soda kama fanta au Coca-Cola inaweza kukusababishia kifo kutokana tu ongezeko kubwa la gesi.
Ameongeza kwa kusema kuwa limao au kinywanji chochote chenye gesi hakipaswi kuchanganywa na dawa ni hatari.
Nyama na mayai mabichi
Kuchanganya nyama ambayo haijaungwa na mayai mabichi inaweza kusababishia matatizo katika mwili wa binadamu.
Inaweza kuwa sumu kwa wengine, zingine zinaweza kusababisha kutapika na kuhara kwa sababu haifai kutumika hivyo.
Nyama mbichi inaweza kusababisha athari ikiwa usindikaji wake haufuatwi ili kupunguza kiwango cha virutubishi vilivyomo.
Mtaalamu anasema kuwa mayai mabichi hayana virutubisho kwenye mwili wa binadamu, yakiwa bado kwenye hali hiyo hayapaswi kuliwa mpaka pale yatakapochemshwa au kukaangwa ndio hujenga mwili.
"Mayai mabichi sio ya kuyaamini," Anasema Mtaalamu wa chakula kutoka Nigeria, Habiba Haruna.
Wataalamu wanashauri watu kula kile wanajua kitakuwa na faida na haitawasababishia matatizo yoyote.
Kujaribu kitu kipya kunaweza kuwa na faida kwa wengine lakini pia kunaweza kuwa na madhara.
Kuna aina nyingi sana ya vyakula ambavyo vikichangwanywa vinaweza sababisha madhara.
Mtu anapaswa kuwa mwangalifu katika uchaguzi wa vyakula ni vyema aweke vyeme virutubisho na kuepuka kuvichanganya.
We kibongo bongo unakula tu kila kilicho mbele ya macho yako.Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

We kibongo bongo unakula tu kila kilicho mbele ya macho yako.
Ukisoma vizuri mwanzon utaelewa vzur.kuna kile ambacho wewe waweza tumia na kisikudhuru ila akitumia mwingne kinamdhuru.Inategemea na uimara wa kinga na adaptation. Mfano mtu anaweza kunywa maji ya mtoni bila hata kuchemsha na asipate tatizo lolote ila akijaribu mwingne kinaumana.Pia uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ila kuna wengne wanazeeka wakiwa wanavuta na ukimwamby hakuelewi ila kuna wengine chap tu baad ya miak kadhaa.Watu wanapika samaki kwa kutumia maziwa na mpaka leo hii wanapeta tu. Nadhani hapa umetupiga kamba.
Acha ukanjanja. Hizo taarifa umezipata kutoka wapi? Je, kwa proof zipi za kisayansi?Ukisoma vizuri mwanzon utaelewa vzur.kuna kile ambacho wewe waweza tumia na kisikudhuru ila akitumia mwingne kinamdhuru.Inategemea na uimara wa kinga na adaptation. Mfano mtu anaweza kunywa maji ya mtoni bila hata kuchemsha na asipate tatizo lolote ila akijaribu mwingne kinaumana.Pia uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ila kuna wengne wanazeeka wakiwa wanavuta na ukimwamby hakuelewi ila kuna wengine chap tu baad ya miak kadhaa.
Report ya mtaalamu wa afya akizungumza na wandishi wa BBCAcha ukanjanja. Hizo taarifa umezipata kutoka wapi? Je, kwa proof zipi za kisayansi?
Mdogo wangu maisha hatuendeshi kwa hisia. Sasa hivi tupo kwenye ulimwengu wa Sayansi na Teknolojia. Achana na stori za kutunga.
Weka link hapa.Report ya mtaalamu wa afya akizungumza na wandishi wa BBC