mama wakibongo alizaa na mchina, baada ya miaka miwili yule mtoto wao akafa. akiwa kwenye msiba huku akishindwa kujizuia kwa kulia yule mama alikua analalamika "mi nilijua tu vitu vya kichina havidumu, hadi mtoto amenipa feki"