hapo kwenye redi sio mchezo kitu lazima kinyonye wese sana tuWanajamii nauza gari yangu VW Passat Model ya mwaka 2001. Gari hili limeingia Tanzania January 2011. Bei 12M. For serious buyers gari liko Dar kwa atakayehitaji kuiona just PM.
Features zake ni pamoja na Engine 2000cc, full time 4WD, AC, CD changer, New Tyres na liko katika hali nzuri sana!
hapo kwenye redi sio mchezo kitu lazima kinyonye wese sana tu
kaisafishe kwanza ndiyo uweke picha.Wanajamii nauza gari yangu VW Passat Model ya mwaka 2001. Gari hili limeingia Tanzania January 2011. Bei 12M. For serious buyers gari liko Dar kwa atakayehitaji kuiona just PM.
Features zake ni pamoja na Engine 2000cc, full time 4WD, AC, CD changer, New Tyres na liko katika hali nzuri sana!
kwa nini unaiuza,tupe confident genuine reason.............mileage ni vp??????