Vurugu zazuka tena Rungwe

Mkuu hizo hasira sio za kodi ni kutokana na uonevu wa serikali ya JK na chama chake CCM kwa watu wa Mbeya kuwatesa na kupanga kuwaua. Walianza na Mwakyembe, kafuatia Ulimboka, mie naelewa kwanini wame react hivyo nikiwa pia natoka kabila za huko. Chuki ya Mbeya kwa serikali ni kubwa tena ina historia ndefu. Miaka ya tisini afisa wa TRA aliuwawa eneo la Airport ni baadhi tu ya matukio yanayoashiria chuki baina ya serikali (CCM)
na Mbeya
mkuu kama ni visasi huku mie simo ila nawatakia kuwa na amani na kila mtu.
 
Mkuu hilo sio gari la TRA, ni gari lako, gali lao na gari langu pia, dawa ni kuwachapa viboko tu, kama alivyofanya yule Mkuu wa wilaya? kule Bukoba

Mkuu tunasema Tanzania ni ya Watanzania wote lakini je ukweli/uhalisia upo katika hilo!?hii keki ya taifa wanayoipigia chapuo ni lini iliwahi kukunufaisha?,niliposema ni la T.R.A nilimaanisha mambo mengi kwa kirefu
 
Back
Top Bottom