Vurugu Makambako


Hawa askari wetu vipi,mbona wao ndio waliosababisha vurugu zote hizi kwa kuwaachia watuhumiwa?Ni kweli wao wana mabomu na wananchi hawana kitu.Hivi nyie maaskari mnawafundisha nini watanzania,mnataka kusema hii ndiyo nja mwafaka ya kuleta amani katika nchi?Wafanyabiashara wameibiwa mali zao na ninyi bila huruma mnacheka na wezi,mnadhani ni rahisi kuwanyamazisha wafanyabiashara kwa mabomu ya machozi?ole wenu mnaotetea watuhumiwa,ipo siku nanyi nguvu ya umma utawashukia msijue cha kufanya.
 

Mistari yako inasomeka na kueleweka vizuri sana, keep it up whenever informing anything esp. to jf
 

Tafsiri ya neno 'vurugu' ni kuvuruga utaratibu,kanuni mengine mtajazia wadau.Hapa polisi wanahusika na kuvuruga utaratibu kanuni kwa watuhumiwa waliowakamata,kesho ktk vyombo vya habari atakuja IGP akiwahimiza wananchi watii sheria bila shuruti.
 
walinzi wawaweke wenyewe waandamane kwa serikali!
Huu upuuzi wa maandamano ulioanzishwa na hawa jamaa bila elimu ya kutosha unaleta shida sana.

hapa inanilazimu kukuuliza wewe ni wa aina gani,usikurupuke soma kitu uelewe ndio uchangie mada.Kimandolu wewe.
 
walinzi wawaweke wenyewe waandamane kwa serikali!
Huu upuuzi wa maandamano ulioanzishwa na hawa jamaa bila elimu ya kutosha unaleta shida sana.
[h=6]Dunia yako chaguo lako.. Chagua kutukana matusi, chagua kuomba radhi.. Kudadadeki.[/h]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…