Vunjika mbavu uwiii !!!!!!

CHOGA

Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
44
Reaction score
5
Joni alimtembelea galfrend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla jioni ile bado akiwa kwa girlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti walipoona hali hiyo ya hewa wakamshauri joni alale pale kwao. Baba alienda chumbani, mama alipeleka vyombo jikoni na binti alienda kutayarisha chumba cha Mgeni (John ) na kumwacha joni sebuleni. Baada ya shughuli zao waliporudi sebuleni hawakumkuta joni. Walimtafuta kila kona ya nyumba bila mafanikio. Mara ghafla walimwona joni amerudi kabeba mfuko mweusi akiwa amelowa chepechepe. Walipomuuliza kulikoni? GONGA HAPA UJUE JONI ALIJIBU NINI HAAA

https://www.facebook.com/pages/Goli-la-ugoko-la-chogatambule/232645083491141
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…