Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,329
Sasa dada kupaka mboo hiyo na dawa na mimba wapi na wapi...kwani akipaka Vumbi hakumwagii shahawa hadi usipate mimba dada angu?Wadada wengi siku hizi ni ngumu kupata ujauzito sababu wanaume wao wengi wanatumia vumbi la congo feki ambalo limechanganywa na hiyo dawa....Ushauri kama wanataka ujauzito ni kheri kabla hawajafanya amwambie m/me wake waende wakaoge kisha amuoshe RUNGU.
Madhara yake ni kama yapi mkuu, samahani nitashukuru kama utanieleweshaRed Giant Vumbi la Kongo ni kweli inatoka Kongo wasafirishaji wakubwa wakiwa hawa medereva wa Malori lakini kuna nyingine inatoka Kigoma nayo inakuwa branded Kongo!..
Madhara yake ni mengi zaidi ya faida!.
Mkuu vumbi la congo has anaesthetic property...like lidocane or lignocaneKweli mkuu. Sikujua kama ni ya kupaka japo kuna dawa za kutibu uhanithi kama hiyo alprostadil hapo juu hutumika kwa kupaka. Kingine watu wanasema inasaidia uume kusimama na wengine wanasema inasaidia tu kuchelewa kufika kileleni. Kipi ni kipi?
Ufanunuzi,,viagra ,electo ,cupid,enjo
hivi ni vidonge vya kumeza
Vumbi la congo ni dawa ya kupaka kwenye ndonga
Sasa tunaitaji ufafanuzi kuna mausiano gani na kushuka kwa presha ya damu na dawa ya kupaka kwenye machine ebu mtoa mada tupe ufafanuzi ...
Mtoa mada ngoja nikupe ka elimu kadogo.
Vumbi la Congo aka Kasongo aka Butururu ni unga unaopatikana baada ya mizizi au magome ya mti kusagwa na si vumbi kama la stoo au barabarani.
Vumbi hili hapo awali lilikuwa linatumika kwa watu waliokuwa wanataka kufanyiwa tohara. Watu hao walikuwa wanapakwa vumbi hili kwa ajili ya kufanya mkuyenge uwe na ganzi kwa hiyo akikatwa govi asihisi maumivu makali.
Kwa kuwa vumbi hilo huufanya mkuyenge kufa ganzi matumizi yake yakawa mapana zaidi ndo maana watu hupaka vumbi hilo likiwa limechanganywa na maji kama matone matatu hivi. Mkuyenge ukiwa na ganzi ni vigumu sana kwa mwanaume kuweza kutema wazungu kwa urahisi so unaweza kudumu kwenye game kwa muda mrefu sana.
Ni hatareee...Mtoa mada ngoja nikupe ka elimu kadogo.

Kwani ingredient za hilo vumbi ni nini? na ni kweli linapataikana kongo tuu, vi vumbi (udongo) kweli ama ni madude yamechanganywa?
Cialis na viagra sidhani kama vinapatikana hapa tanzania
Watu bhana!!!...
Vumbi la Congo aka Putuluu wenyewe wanaita ni Unga wa dawa za mitishamba.. Unapaka ktk kichwa cha uume Kisha unafunga nailon ktk hiko Kichwa cha uume almost 12 hrs Kisha unaenda kuosha uume wako ..unasubiri huyo mdada aje ndo uanze kazi... Ila Kama hatokuja wala uume hautosimama ila tu kosa ni pale utakaposimana na kuingiza ukeni.. Hapo ni 3 hrs na zaidi...
We wa KINTINKU??!!Cialis na viagra sidhani kama vinapatikana hapa tanzania
Brother utasababisha watu wapate gangrene kwenye mboo, vumbi la Kongo ukipaka ndani ya dakika tano hadi kumi utaanza kusikia ganzi. Ukianza kusikia ganzi nawa mara moja kuondoa dawa.Watu bhana!!!...
Vumbi la Congo aka Putuluu wenyewe wanaita ni Unga wa dawa za mitishamba.. Unapaka ktk kichwa cha uume Kisha unafunga nailon ktk hiko Kichwa cha uume almost 12 hrs Kisha unaenda kuosha uume wako ..unasubiri huyo mdada aje ndo uanze kazi... Ila Kama hatokuja wala uume hautosimama ila tu kosa ni pale utakaposimana na kuingiza ukeni.. Hapo ni 3 hrs na zaidi...
Unapakaje mkuu?? Unachanganya na maji au hivo hvo unga unga ukiwa mkavu na vumbi lake??Brother utasababisha watu wapate gangrene kwenye mboo, vumbi la Kongo ukipaka ndani ya dakika tano hadi kumi utaanza kusikia ganzi. Ukianza kusikia ganzi nawa mara moja kuondoa dawa.
Ukishaiondoa dawa ganzi itaendelea kuongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadeq bila shaka wewe umeshatumia vyote, umrjuaje yote hayaUfanunuzi,,viagra ,electo ,cupid,enjo