Inatengenezwa na madini ya zebakiKwani ingredient za hilo vumbi ni nini? na ni kweli linapataikana kongo tuu, vi vumbi (udongo) kweli ama ni madude yamechanganywa?
ZEBAKI TENA?Inatengenezwa na madini ya zebaki
Ufanunuzi,,viagra ,electo ,cupid,enjo
hivi ni vidonge vya kumeza
Vumbi la congo ni dawa ya kupaka kwenye ndonga
Sasa tunaitaji ufafanuzi kuna mausiano gani na kushuka kwa presha ya damu na dawa ya kupaka kwenye machine ebu mtoa mada tupe ufafanuzi ...
Ni hatari sana hizo dawa za kumeza aka KIBOKO YA PAULINA.wakuu nimekuwa nasikia sana kuhusu kuwepo kwa dawa ya kuongeza nguvu za kiume iitwayo vumbi la Congo. Wanadai ni dawa ya asili kutoka Congo.
Kwa uelewa wangu wengi hawa wanaodai dawa ni asili huwa ni matapeli ambao hutumia dawa za kisasa na kuzibrand za asili wakitumia imani ya watu kwa dawa za asili kutapeli.
Wanatumia dawa za kuongeza nguvu kama Cialis au viagra(sildenafil) na kuchanganya na unga wa miti na kusema ni dawa asili. Hata wamasai wauza dawa nasikia walikuwa na mchezo huo.
Hatari za hizi dawa ni kama ifuatavyo.
Hizi dawa ufanyaji wake kazi husababisha presha ya damu kushuka. Kwa watu wanaotumia dawa za presha au wanaotumia dozi kubwa wanaweza kufa kwa presha kushuka kupita kiasi.
Kitu kingine ni kitu inaitwa priapism. Hii niuume kusimama hata zaidi ya masaa sita bila kulala. Mtu akipatwa na hali hii na asipopatiwa masaada wa haraka kuna 50 chances za kuwa hanithi. Sijajua kwanini mamlaka husika hazijazungumza kuhusu hili swala ambalo ni hatari kwa afya ya umma na limaweza kuwa la kitapeli pia.
Kuna dawa nyingi za kutibu Erectile dysfunction na nyingine siyo za kumeza. Mojawapo ni kama Alprostadili ambayo unaweza kuchoma kama sindano kwenye uume au ukapaka kwenye kichwa cha uume. Zote hizi hufanya kazi kwa kutanua mishipa ya damu(vasolidators) na hivyo hushusha pressure japp madhara ya hizi za kupaka kwenye kushusha pressure siyo kama za kumeza. Ila hii alprostadil ya kupaka ni hatari sana kwa wajawazito au wanaopanga kupata ujauzito. Ukipaka na kupiga kavukavu inaweza dhuru ukuaji wa mtoto au kuzaa kabla ya wakati.Ufanunuzi,,viagra ,electo ,cupid,enjo
hivi ni vidonge vya kumeza
Vumbi la congo ni dawa ya kupaka kwenye ndonga
Sasa tunaitaji ufafanuzi kuna mausiano gani na kushuka kwa presha ya damu na dawa ya kupaka kwenye machine ebu mtoa mada tupe ufafanuzi ...
Wadada wengi siku hizi ni ngumu kupata ujauzito sababu wanaume wao wengi wanatumia vumbi la congo feki ambalo limechanganywa na hiyo dawa....Ushauri kama wanataka ujauzito ni kheri kabla hawajafanya amwambie m/me wake waende wakaoge kisha amuoshe RUNGU.hii alprostadil ya kupaka ni hatari sana kwa wajawazito au wanaopanga kupata ujauzito
umeongiawakuu nimekuwa nasikia sana kuhusu kuwepo kwa dawa ya kuongeza nguvu za kiume iitwayo vumbi la Congo. Wanadai ni dawa ya asili kutoka Congo.
Kwa uelewa wangu wengi hawa wanaodai dawa ni asili huwa ni matapeli ambao hutumia dawa za kisasa na kuzibrand za asili wakitumia imani ya watu kwa dawa za asili kutapeli.
Wanatumia dawa za kuongeza nguvu kama Cialis au viagra(sildenafil) na kuchanganya na unga wa miti na kusema ni dawa asili. Hata wamasai wauza dawa nasikia walikuwa na mchezo huo.
Hatari za hizi dawa ni kama ifuatavyo.
Hizi dawa ufanyaji wake kazi husababisha presha ya damu kushuka. Kwa watu wanaotumia dawa za presha au wanaotumia dozi kubwa wanaweza kufa kwa presha kushuka kupita kiasi.
Kitu kingine ni kitu inaitwa priapism. Hii niuume kusimama hata zaidi ya masaa sita bila kulala. Mtu akipatwa na hali hii na asipopatiwa masaada wa haraka kuna 50 chances za kuwa hanithi. Sijajua kwanini mamlaka husika hazijazungumza kuhusu hili swala ambalo ni hatari kwa afya ya umma na limaweza kuwa la kitapeli pia.
Kweli mkuu. Sikujua kama ni ya kupaka japo kuna dawa za kutibu uhanithi kama hiyo alprostadil hapo juu hutumika kwa kupaka. Kingine watu wanasema inasaidia uume kusimama na wengine wanasema inasaidia tu kuchelewa kufika kileleni. Kipi ni kipi?Hello Red Giant,
Umeingia bonge la chaka.. Vungi la kongo mtu anapaka kwenye mbolo, hizo zingine ni za kumeza.. sasa hakuna muingiliano hapo.
ok.
umeongia