vp wadau? Hope mko pouwa! Kuna nafasi za volunteering zilitolewa mwezi uliopta ktk orgnsatn ya international citizen servcs! Wamenpgia cm na kuniambia niende kwnye usaili mikocheni b (cefa hostel)!! Km kuna mtu amepgiwa au ana ufaham juu ya hawa bwana anijuze!!
Mimi nawafaham ni organisation ya kujitolea kijana wewe nenda tu kama umekaa huna kazi nenda ukapate mda wa kukukeep bize na kukuza career yako na ukashirikiane na waafrica wenzio na wazungu kibaoo mtakao kua nao remember hakuna malipo ni kujitolea tu
nmekupata mkuu!! Kwa hyo ni mwendo wa kupga ndefu? Dah hawa jamaaa
Mkuu Nasi, unaposema
english test una maanisha nn!??
Haya kwa wanaojua, niko na swali, kuna ndugu yangu kapigiwa cm, lkn kuna
sehema kajishikiza wanamlipa laki 3! Je aacha huko kwa laki 3 aambatane
na wandugu hao, au aendelee!??
kuna allowance inatolewa kila wiki....mi nimemaliza program huko juzi tu.......wako poa kama huna kazi nenda tu ucckize ya watu....[]
Hivi hua wanawagawanya sehem tofaut au wote ni sehem moja?