yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jul 21, 2014 #1 habari nimeitwa kwa interview na hawa jamaa.....mwenye experience na hawa watu abt interview tushee kidogo....
habari nimeitwa kwa interview na hawa jamaa.....mwenye experience na hawa watu abt interview tushee kidogo....
odindo Member Joined Oct 11, 2013 Posts 55 Reaction score 8 Jul 21, 2014 #2 Jiandae kwa maswal mengi sana. Bukoba au wap
Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,213 Jul 21, 2014 #3 wako vizuri sana, ukipata jiandae na safari za UK, France.....
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jul 21, 2014 Thread starter #4 odindo said: Jiandae kwa maswal mengi sana. Bukoba au wap Click to expand... yah ni bukoba....maswali mengi ya namna gani mkuu?
odindo said: Jiandae kwa maswal mengi sana. Bukoba au wap Click to expand... yah ni bukoba....maswali mengi ya namna gani mkuu?
odindo Member Joined Oct 11, 2013 Posts 55 Reaction score 8 Jul 21, 2014 #5 Yanajitokeza jins utakavyo kuwa ubajibu
odindo Member Joined Oct 11, 2013 Posts 55 Reaction score 8 Jul 21, 2014 #6 Ila cha kwanza jiandae kutengeneza vitu kama bridge na box kwa kutumia karatas. Box liwe na uwezo wa kubeba mkas na grue ambayo mtakuwa mntumia. Yote hayo yanafanyika in groups. Alafu kinafuata maswal mmoja mmoja
Ila cha kwanza jiandae kutengeneza vitu kama bridge na box kwa kutumia karatas. Box liwe na uwezo wa kubeba mkas na grue ambayo mtakuwa mntumia. Yote hayo yanafanyika in groups. Alafu kinafuata maswal mmoja mmoja
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,939 Jul 21, 2014 #7 Nafasi gani
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jul 21, 2014 Thread starter #8 Akili Unazo! said: Nafasi gani Click to expand... volunteer 3months
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,939 Jul 21, 2014 #9 Sasa volunteer unaogopa interview...wangekuwa ni ajira anyway nitafute kesho mapema nikupe issue zote
Sasa volunteer unaogopa interview...wangekuwa ni ajira anyway nitafute kesho mapema nikupe issue zote
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jul 22, 2014 Thread starter #10 Akili Unazo! said: Sasa volunteer unaogopa interview...wangekuwa ni ajira anyway nitafute kesho mapema nikupe issue zote Click to expand... it pays bro....ndo maana kuna interview......na yaweza ikawa ndo safari ya ajira ya kudumu
Akili Unazo! said: Sasa volunteer unaogopa interview...wangekuwa ni ajira anyway nitafute kesho mapema nikupe issue zote Click to expand... it pays bro....ndo maana kuna interview......na yaweza ikawa ndo safari ya ajira ya kudumu
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,939 Jul 22, 2014 #11 Catch me nitakupa information's zote japo mie ni anti spoon feeding
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,939 Jul 22, 2014 #12 When is your interview will be done
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jul 22, 2014 Thread starter #13 Akili Unazo! said: When is your interview will be done Click to expand... tar 25 july
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,215 Jul 22, 2014 #14 Soma vizuri job description yao.