Vso-international

yungsteval

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
309
108
habari nimeitwa kwa interview na hawa jamaa.....mwenye experience na hawa watu abt interview tushee kidogo....
 
Ila cha kwanza jiandae kutengeneza vitu kama bridge na box kwa kutumia karatas. Box liwe na uwezo wa kubeba mkas na grue ambayo mtakuwa mntumia. Yote hayo yanafanyika in groups.
Alafu kinafuata maswal mmoja mmoja
 
Sasa volunteer unaogopa interview...wangekuwa ni ajira anyway nitafute kesho mapema nikupe issue zote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom