VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

Hawa Kagera tuna bahati mbaya nao sana lakini leo ilitakiwa iwe siku ya kuwafundisha soka hawa jamaa.
 
viungo wa kagera sugar wanacheza vzr wanakaba
 
Hawa Kagera tuna bahati mbaya nao sana lakini leo ilitakiwa iwe siku ya kuwafundisha soka hawa jamaa.

Mpaka sasa sijaona chochote cha maana wanachocheza hawa kagera. Ushindi upo kwa simba kabisa leo.
 
Mpaka sasa sijaona chochote cha maana wanachocheza hawa kagera. Ushindi upo kwa simba kabisa leo.
Mkuu hawa Kagera usiwachukulie poa kabisa, tuombe Phiri awe na plan B maana inavyoonekana plan aliyoingia nayo haijafanya kazi.
 
Huyu okwi mbona anacheza masumbwi tu humu uwanjani....vipi huyu refarii hatoi kadi kwa huyu okwi????
 
kule mbele serenkuma na okwi hawachezi kwa maelewano
 
Hawa Kagera Sugar hawa sijui wanatutaka nini.
 
Huyu goakeeper wa kagera anafanya kaz mzuri sana leo...
 
mpira mapumzika kagera 1 simba 0 goli la atupele green linatofautisha timu hizi mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…