Vpl live updates young african sc vs ashant united (25/01/2014)

Vpl live updates young african sc vs ashant united (25/01/2014)

MTUNZA AMANI

Senior Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
187
Reaction score
21
Haya wadau wa kabumbu,heshima kwenu,leo kama kawa mabingwa watetezi YANGA wanashuka dimbani uwanja wa taifa kukipiga na watoto wa jiji ASHANT UNITED. Nani zaidi leo.je wazee wa uturuki wataendelea kushika usukan au la,yetu macho na maskio. Kwa wale watakaokuwa uwanjani tupia updates hapa.
 
....mpaka muda huu ni 45 za kipindi cha kwanza zimeisha; yale magoli yaloyokuwa yakifungwa UTURUKI mbona hatuyaoni??????????????
 
huwezi fanya maandalizi kwenye hali ya baridi wakati ligi inachezwa kwenye hali joto iyo itawacost yanga kwasababu watachelewa sana kupata magoli leo
 
Back
Top Bottom