VPL Leo: Simba vs Ndanda

Warembo wetu wamejazana humu kumlaumu mume wao kwa kutoa mautamu yao kwa mrembo kutoka Ndanda. Huyu wa ndada mtamu jamani maana mauno na mishanga kedekede wakati mke wetu mgumu kwa kwa kula vihepe vikavu vya mitaa ya twiga.
 
Ubingwa wa kichina=Ubingwa wa kununua=Kushindwa kumfunga mtani kwa miaka 3.

Ni kawaida timu kubwa kama yanga kufungwa na katimu kadogo kama simba a.k.a mikia fc. Rejea ligi kubwa kama liga bbva, epl, makombe mbalimbali kama FA, Carling cup na mengineyo kwahiyo sio ajabu kwa katimu kadogo kama simba kumfunga bingwa mtarajiwa.

Swala la kununua mechi hilo kwetu haliwezekani kwani ukitaja timu bora kwa sasa africa mashariki na kati YANGA IPO, wanaonunua mechi ni Azam na Simba coz wote wanapigania nafasi ya pili. Shughulisha ubongo wako na jitoe kwenye lile kundi alilowaweka rage then utajua namaanisha nini.
 
Kama hamnunui mechi mbona timu zenye uchumi mzuri na zile zinazotambua ushindi ni zaidi ya pesa ziliwachapa au kutoa sare?

Mmemsababishia matatizo makubwa kipa wa Mbeya city kwa buku kumi yenu.
 
Kama hamnunui mechi mbona timu zenye uchumi mzuri na zile zinazotambua ushindi ni zaidi ya pesa ziliwachapa au kutoa sare?

Halafu hizo timu zenye uchumi mzuri na zinazotambua kuwa ushindi ni zaidi ya pesa RAUNDI YA PILI TUMEWAFANYA NINI? Lete matokeo yao. Ukishapata jibu jisifie kimoyomoyo kuwa wewe ni mbumbumbu uliyekomaa
 
Toa mfano wa bingwa aliyeshindwa kumfunga mkia miaka mitatu mfululizo.kwenye hiyo BBVA name EPL
 
Mmemfanya nini Simba nyie misukule ya manji, lete hapa cha kujisifia. Hata ndanda aliyekataa vipesa vya manji aliwafanya nini hapa hapa kwenu?
 
Toa mfano wa bingwa aliyeshindwa kumfunga mkia miaka mitatu mfululizo.kwenye hiyo BBVA name EPL

Taahira la manji lina jibu basi. Kila kitu mpaka lifanyiwe na manji nahisi kuna kitu cha ziada manji anawafanyia maana akikohoa tu hakuna uchaguzi wote hewalaaaa, hakuna mkutano wa katiba wote hewalaaaa....

Siondoki hapa mpaka nilipe bao 5-0, wote hewalaaaa
 
Mmemfanya nini Simba nyie misukule ya manji, lete hapa cha kujisifia. Hata ndanda aliyekataa vipesa vya manji aliwafanya nini hapa hapa kwenu?

Kama unaangalia historia ya misimu mitatu nakupongeza Mtani kweli umemfunga yanga. Turudi sasa katika historia ya tangu ligi kuu inaanzishwa. Lete takwimu simba na yanga wamekutana mara ngapi? Nani kafungwa zaidi na nani kafungwa magoli mengi. Ukishapata majibu wanong'oneze mikia wenzio polepole maana ukileta humu mtatia aibu.

AU TUJIBU TUU KWA SAUTI WEWE BINGWA WA KUMFUNGA YANGA MPAKA LEO HII HILO KOMBE LA LIGI KUU UMECHUKUA MARA NGAPI NA HUYO MNYONGE WAKO KALIBEBA MARA NGAPI.
 
Toa mfano wa bingwa aliyeshindwa kumfunga mkia miaka mitatu mfululizo.kwenye hiyo BBVA name EPL

MIKIA HUWA ANASHIRIKI HIZO LIGI ULIZOTAJA, au umekosea kuelezea hiyo post yako. Rekebisha nikujibu au ndio yaleyale mambumbumbu kazini.

NOTE: Nimeshindwa kuelewa hapo bingwa aliyeshindwa kumfunga mikia mfululizo kwenye hiyo BBVA name EPL

Na kama kweli umekosea katika maelezo yako hapo juu na ukarekebisha nadhani utaprove ile kauli ya rage na wewe utakuwa mbumbumbu times two
 
Mmemfanya nini Simba nyie misukule ya manji, lete hapa cha kujisifia. Hata ndanda aliyekataa vipesa vya manji aliwafanya nini hapa hapa kwenu?

Kwenye MABONANZA simba anaongoza kamfunga sana yanga na kachukua sana ubingwa wa mashindano ya NDONDO makombe yanayotambuliwa na BankABC, TBLna Grand malt hawa nadhani ndio wale mabosi wa Mapinduzi cup kama sijakosea.

Kwenye LIGI KUU BARA Yanga kamfunga sana simba na YANGA huyo huyo mpaka sasa ndiye anayeongoza kwa kuchukua hilo kombe linalotambuliwa na FIFA, CAF mara nyingi sana kuliko timu yoyote ile Tanzania Bara.
 
Mkuu nakuona umekazana kuuelimisha huo mkia lakin bado hauelewi, achana nae huyo hana cha maana cha kukuambia zaidi ya kujisifia tu kuwa kulimfungeni goli tano.
Hapana kama yanga Tanzania...,
 
Ndala fc, Migongo wazi fc , Kanji bhai fc, Vyura fc Nyinyiem Fc
 
Ndala fc, Migongo wazi fc , Kanji bhai fc, Vyura fc Nyinyiem Fc

MAMBUMBUMBU FC, MAJIZI FC (abdi banda, hassanoo, hanspope, christopher alex RIP, rage, wambura, .............. Na wengineo?

NA MTASHANGAA MWAKA HUU BAADA YA NDALA KWENDA CHOONI JUMATATU ZINATINGA SITTING ROOM MPAKA MASTER BEDROOM.
 
Katika La Liga(inayodhaminiwa na bank ya BBVA) na katika EPL,ni timu gani ambayo huchukua ubingwa mara kwa mara lakini inasumbuliwa na Timu fulani moja huku timu hiyo ikiwa iko kimkia mkia kwa miaka mitatu mfululizo?

hapo kwenye 'name' ilitakiwa kuwa 'na'
 
Karekebishe katika original post na uache kufufua nyuzi zilizokufa
 
Mkuu nakuona umekazana kuuelimisha huo mkia lakin bado hauelewi, achana nae huyo hana cha maana cha kukuambia zaidi ya kujisifia tu kuwa kulimfungeni goli tano.
Hapana kama yanga Tanzania...,

Inapendeza kuona yeboyebo a.k.a wavuvi wa konokono, vyura na kambale kukiri kuchapwa na mkia mara tano kwa siku moja. Teheteheteheeeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…