VPL Leo: Simba vs Ndanda

Goli ni goli tu hata likiwa la mkono bora refa aseme kabumbu kati vivyo hivyo na kwa ubingwa kama kuna mahali ilikuwa unauzwa na ninyi kanunueni kudadadeki nyanga mnanipa raha
 
Breaking News: Habari kutoka tielfu elfu zilizothibitishwa na mimi leo afisa habari toka boko magengeni ni kwamba mikia fc au wahapa hapa fc (simba) wanashutumia kwa kuuza mechi dhidi ya mbeya city wagonga nyundo wa jiji la mbeya, stand united, pamoja mgambo fc mchezo uliofanyika kule Tanga. Hivyo mikia fc wanachangia kudidimiza soka la hapa nchini. Pia kukomalia timu moja tu imefanya mikia fc kuchangia kuharibu soka. Hivyo adhabu yao ni kushushwa daraja baada ya hii mechi.
 
Kwa hiyo udume wenu nyinyi ni kumfunga mbeya city tu, Mara ya mwisho nyinyi kumfunga Mnyama ilikuwa lini?

udume wetu ni kuchukua kombe, ambalo ninyi kwenu ni ndoto. Kuna kiongozi aliwahi kuwa rais wa mikia fc alisema juzi kuwa timu yangu mikia fc inaongoza na wendawazimu wasiokwenda shule. Badala ya kuja na mikakati ya kuchukua ubingwa wanawaza kuifunga timu moja tu ili kufurahisha wake zao na mashoga zao. Alizidi kuongeza kuwa mikia fc inasema inawaandaa vijana tangu mwaka 2012 na wanazidi kuwa wazee na hakuna kinachofanyika au Mungu amesimamisha umri wa hao wachezaji ?.
 
Bantu lady mi sijambo nipo nlisafiri kidogo kwenda huko nje ya dunia hii. i hope yu re doing fine. mnyama ni one of the best team in africa hilo hakuna anayebisha ukienda CAF huko wana taarifa nzur za kutosha kuhusu simba. simba hata hapa ni team nzuri siku zote nawaambia hivyo. tatizo ni siasa za mpira na hujuma zinazofanywa dhid ya team yetu. tunafahama kwa yanga inanunua sana mech kwa team nyingi tu na imesababisha hata baadh ya wachezaji makipa kufukuzwa kwenye team zao. tunajua manji anatumia pesa nying sana kuipa ubingwa yanga ili imsaidie ATAKAPONGOMBEA UBUNGE mwaka huu.kiukweli yanga si kwamba ni team nzuri sana ni team ambayo inanunua sana mechi hasa kwa team ambazo zinaonekana zinaleta upinzani
 
Last edited by a moderator:

Jamani mbona kimya,simba hawajapata la nane huko?
 
Simba ni sawa na gari la mkaa, halina uhakika na ****;liza safari - Kaduguda, gazeti la mwananchi, April 24, 2015
 
Mwenye matokeo atujuze jamani sisi tuliombali na nchi........la sivyo mi nasema ....Simba 0 Ndanda 4.
 
Mwenye matokeo atujuze jamani sisi tuliombali na nchi........la sivyo mi nasema ....Simba 0 Ndanda 4.

You are close to the truth although you are wrong.

The truth is:
Struggling Simba 3-0 Ndanda FC,
Relaxing Azam 4-0 Stand United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…