Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Ligi ya bongo mazingaombwe.. Huyo bingwa mwenyewe hana tofauti na anayechuka daraja.. Masau Bwile alisema kuna mazingira yasiyo na afya kati ya YANGA, Marefa na TFF yanayopelekea bingwa kupatikana kwa hila na si uwezo.. Alisema muda ukifika ataweka mambo yote hadharani..
Ila hata mm najiuliza Kandambili kuwa bingwa kwa mpira gani jamani???..
Yanga ndiyo bingwa mpya 2014/2015 asiyetaka akufweee for us.
Hatuwezi zuia mafuriko kwa mikono, Yanga bingwa na kombe lazima lipite Msimbazi ndiyo liingie Jangwani. Mji utakuwa mdogo huu, watu watahama kwa muda.
Raha kuwa kwenye nyumba wenyeji wakimbie, mnajifanyia mtakacho.
Maana msimbazi tutakaa masaa kadhaa. Mkufwee vizuri...
#teamyanga #
Ubingwa wa kichina=Ubingwa wa kununua=Kushindwa kumfunga mtani kwa miaka 3.
Ubingwa wa kichina=Ubingwa wa kununua=Kushindwa kumfunga mtani kwa miaka 3.
Ubingwa wa kichina=Ubingwa wa kununua=Kushindwa kumfunga mtani kwa miaka 3.
Simba wameanza ligi kuu sasa hakuna wa kuwazuia hadi ubingwa.
3-0 Simba anaongoza walf wa Azam Chanel 100
kamfunge mbeya city kama wewe kweli kidume,
Ubingwa wa kichina=Ubingwa wa kununua=Kushindwa kumfunga mtani kwa miaka 3.
kamfunge mbeya city kama wewe kweli kidume,
pakashumi zinaongea leo...ule mpango wenu kaburu na tff wa kadi tatu Za njano kwa mchezaji wa mikia uliishia wapi maana siku mbaya city walipowazamishia viwili okwi hakuwepo na ikaelezwa eti anakadi tatu Za njano