VPL Leo: Simba vs Ndanda

Updates jamani japo ni.mechi ya kirafiki
 
Naomba leo ushabikie Simba kwa ajili yangu. Simba 1-0 Ndanda na tunasubiri kupiga penati.

Utanisamehe tu Masuke tatizo siyo wewe, tatizo timu yako mikia. Siipendi kuliko timu zote ikiwa na Man U. Naichukia sitakuja kuishabikia hata sekunde...
 
Last edited by a moderator:
Utanisamehe tu Masuke tatizo siyo wewe, tatizo timu yako mikia. Siipendi kuliko timu zote ikiwa na Man U. Naichukia sitakuja kuishabikia hata sekunde...

Haya bana, lakini sio vizuri kuchukia kitu bila sababu ya msingi.
 
Ndanda ndiyo mnauza mechi mapema hivi, hapo ni mambo ya Yuda tu. Mtashuka daraja shauri zenu...
 
Nimechanganya na zangu.. ndiyo maana mahesabu hayaji.. Yanga Bingwa kwa mpira gani!1?

Hawakawii kusema Masau Bwire ana kadi ya Simba SC.
Kilichosemwa ni kweli tupu na ndicho hata wadau humu tumekuwa tukisema kila mara. Simba pekee ndiyo yenye kushinda kwa haki, sare na kufungwa kwa haki kiwanjani.

Ukitaka kuliona hilo subiri Yanga akutane tena na Mnyama ndiyo maneno ya wadau yanapodhihiri.
 

Ubingwa bila kumfunga Mtani wako wa Jadi ni ubingwa feki.
 

Mkifungwa mnauza mechi
 
Refa amekataa bao la Ajib (ajenda ya yeboyebo).
 
Hivi hawa Ndanda FC ndiyo walioitoa kamasi jepesi yeboyebo hapa hapa?
Mbona nyanya masalo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…