Ligi ya bongo mazingaombwe.. Huyo bingwa mwenyewe hana tofauti na anayechuka daraja.. Masau Bwile alisema kuna mazingira yasiyo na afya kati ya YANGA, Marefa na TFF yanayopelekea bingwa kupatikana kwa hila na si uwezo.. Alisema muda ukifika ataweka mambo yote hadharani..
Ila hata mm najiuliza Kandambili kuwa bingwa kwa mpira gani jamani???..
Nimechanganya na zangu.. ndiyo maana mahesabu hayaji.. Yanga Bingwa kwa mpira gani!1?
Kila la kheri Ndanda FC, friends of Ndanda tuko pamoja nanyi kwa shida na raha.
Piga mikia mkishindwa kabisa wabanieni hao.
#teamyanga #ndanda#