Kama alivyoeleza Paulss post namba mbili usijisumbue maana hizi modem za CDMA hazichakachuliwi. Hackers bado wanatafuta ufumbuzi na hawajafanikiwa. Hivyo endelea kufaidi mtandao wa ttcl au ukiona huwezi donate kwa wengine hiyo modem au kama una hasira nayo itupe kabisaaaaa.