vp kwa matokeo haya nawez kusomea nin??

mandojo

Member
Jul 2, 2016
41
5
nilifany mtihani wataifa 2013 na matokeo yakawa hivi, civcs c,geo c, Engliah c, bios c, kiswahil c, math e, phsc e, na chemistry e.but kutokana na some reasons sikufanikiwa kuendelea kimasomo ila now nshajipanga natak kusom. your views iz very important
 
unaweza kuendelea 4m five mbona wanaangalia kama una credit 3 zenye combination japo hujataja history kuwa ulikuwa na alama gan ila kama una history c bac nenda private advice watakupokea
 
nilifany mtihani wataifa 2013 na matokeo yakawa hivi, civcs c,geo c, Engliah c, bios c, kiswahil c, math e, phsc e, na chemistry e.but kutokana na some reasons sikufanikiwa kuendelea kimasomo ila now nshajipanga natak kusom. your views iz very important
Kama unayo nia ya kusoma Advance...nicheck 0656415981,ntakusaidia ndugu.
 
Back
Top Bottom