baada ya kutusaidia kupunguza kelele za mwanajeshi wa sinza kwa kushinda EMA best african act sasa tuwasaidie pia washinde best worldwide act..vote for these talented dudes...sura yako muzuuuri maaamaaa
baada ya kutusaidia kupunguza kelele za mwanajeshi wa sinza kwa kushinda EMA best african act sasa tuwasaidie pia washinde best worldwide act..vote for these talented dudes...sura yako muzuuuri maaamaaa View attachment 196066
Aibu ya mwaka... mkiambiwa hamna kingine kinachowasumbua zaidi ya wivu, mnakuja juu!! Yaani mie Mtanzania niwapigie kura Wakenya kwa sababu Diamond ataringa; pyuuuuu!