It will take years kwa diamond kupata mpinzani bongoAgain kijana wetu anazidi kutuwakilisha vyema kimataifa sas yuko nominated kwenye TUZO KUBWA ZITAKAZOFANYIKA MAREKANI November mwaka huu..
Mpigie kura diamond katika kipengele alichowekwa kama msanii mwenye ushawishi zaidi barani AFRICA ..kipengele hicho anashindanishwa yeye na wasanii wengine nguli kutoka Africa.
Kina davido,Tiwasavage,yemi alade na wengineo.
Vote for diamond.View attachment 1198208View attachment 1198209
Nishampigia kura teyaliSawa Mkuu
Link iko kwenye insta page ya E!news au WCB wasafi,mimi nilishapiga mapema Jana,he deserve to be voted.Weka link tupige Kura, huyo ndo msanii hawa wengine ni waanguaji wa maembe tu
It will take years kwa diamond kupata mpinzani bongo
Mkuu bado hujaamsha mamton..Kwani mashabiki hatuwezi kuwashabikia wasanii wote kwa wakati mmoja...Tunahitaji kina Mondi wengi acheni roho mbaya.
Nitapiga kura.
Mme wako awezi ku be nominated ameezeeka sana miaka 40 unazani ni mchezoHata alikiba alikuwa nominated ila akakataa akataka wamtoe coz hapendi show off za tuzo.