Volunteering

Volunteering

tinoh

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
21
Reaction score
0
Jaman nmetft kaz ad nmechoka, nmetft volunteering nayo nmekosa, km kuna mtu ana dil au mchongo wa kuvolunteer ansaidie jmn nna degree ya computer science
 
Daah! hivi computer science nayo inasumbua kupata ajira! pole sana mdau, but one day yes!
 
Pole mi naona karbu dgr zote kaz ishu labda ualimu wenye nafuu.
 
ndugu tinoh ulipotafuta kazi za coomputer science ukakosa,
Je ulishawahi kufikiria juu ya kazi nyengine ambazo una uwezo wa kufanya nje ya degree yako uliyosome?

Kw kukusaidia kufikiri.....kama umesomea computer science, ina maana ulisoma masomo ya science advance secondary school ...
Shule nyingi sana zinahitaji waalimu wa science, na wanawalipa mshahara usiopungua 500,000 kwa mwezi.
Kama hukuwahi waza wala kupenda kushika chaki,,,,sasa itabidi uanze kupenda.
FURSA ZIPO....NI WEWE KUZIONA NA KUZITUMIA
 
Last edited by a moderator:
africa volunter corps wametangaza nafasi kwa anaetaka volunteering
 
Jaman nmetft kaz ad nmechoka, nmetft volunteering nayo nmekosa, km kuna mtu ana dil au mchongo wa kuvolunteer ansaidie jmn nna degree ya computer science

Ushauri kwako mdogo wangu. Unapoelezea/present kitu muhimu kama hiki jaribu kuwa makini JF ni mkusanyiko wa watu wengi wakiwemo maafisa uajiri,kwa aina hii ya uandishi mtu anaweza kukuona si mtu makini. Wenyewe mnaelewana mkiandika hivi lakini si kila mtu atakuelewa kwa hizi lugha zenu za vijiweni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom