Volunteer/Trainee

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Waungwana salama jamani,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mhitimu wa chuo cha maji Rwegalulila pale Ubungo fani yangu ni Electrical Installation ngazi ya Level 2, na mpaka sasa nipo tu kitaa sijapata mchongo wowote ule, ombi langu ni kutaka kupata japo Nafasi ya kuvolunteer/Trainee katika kampuni/ taasisi yoyote ile, nitashukuru kwa msaada mtakaonipatia...aliye tayari ani-PM
 
Unataka nafasi ya TRAINER AU TRAINEE.??
 
Trainee mkuu,
 
jaribu kutafuta kampuni za consultant au contracting firm halafu peleka cv yako mambo yatakua poa jaribu kuingia google contractor registration board (crb) utakuta makampuni mengi na details zao itakusaidia kufanya application
 
jaribu kutafuta kampuni za consultant au contracting firm halafu peleka cv yako mambo yatakua poa jaribu kuingia google contractor registration board (crb) utakuta makampuni mengi na details zao itakusaidia kufanya application

Shukrani sana,ngoja nijaribu man
 
Wasomi wa siku hizi,naona kama wengi wao hawapo serious na mambo yao,inawezekanaje ukatafuta nafasi ya kazi online lakini kuandika neno Trainer badala ya Trainee,hivi hamjui kuwa maandishi yako yana present the way you are.? Be smart,lazima ujue first impression na last impression katika utafutaji kazi,ukipata kazi yenyewe na hata katika maisha yako ya kawaida inaapply sana.
Any way kila la heri.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…