tumia simu kuclick hilo neno magariHili group naingiaje weka link
I agree with you !!Ngoja niende pound for pound.
Bmw X5 E53 2000-2006
3.0d diesel 3L engine nzuri kwa utumiaji mafuta ila haina kasi kama bmw inavyojulikana.
3.0I petrol 3L engine inakunywa wese kama hela ya mawazo haikufai.
Pia sio comfortable sana maanake bmw ziko more sporty.
VW Touareg 7L 2002-2008
2.5tdi diesel engine haina nguvu,haina speed. Inasumbua sana.
3.0V6 tdi diesel engine ina nguvu na speed ya ajabu unaweza usione tofauti na petrol engine. Inatumia mafuta vizuri.
3.2V6 petrol, hii ni beast...very powerful and fast ila inakunywa wese kama una hela ya mawazo haikufai. Very comfortable than X5.
Kitu muhimu...spares za vw touareg ni bei nafuu kuliko za bmw x5, availability ya spares zote zinapatikana kwa urahisi na nyingi.
Kwa ushauri wangu chukua VW Touareg 3.0Tdi.
Mbona kuna jamaa kanikatisha tamaa kwenye dashboard taa zinawaka sana hata bila tatizo kubwaNgoja niende pound for pound.
Bmw X5 E53 2000-2006
3.0d diesel 3L engine nzuri kwa utumiaji mafuta ila haina kasi kama bmw inavyojulikana.
3.0I petrol 3L engine inakunywa wese kama hela ya mawazo haikufai.
Pia sio comfortable sana maanake bmw ziko more sporty.
VW Touareg 7L 2002-2008
2.5tdi diesel engine haina nguvu,haina speed. Inasumbua sana.
3.0V6 tdi diesel engine ina nguvu na speed ya ajabu unaweza usione tofauti na petrol engine. Inatumia mafuta vizuri.
3.2V6 petrol, hii ni beast...very powerful and fast ila inakunywa wese kama una hela ya mawazo haikufai. Very comfortable than X5.
Kitu muhimu...spares za vw touareg ni bei nafuu kuliko za bmw x5, availability ya spares zote zinapatikana kwa urahisi na nyingi.
Kwa ushauri wangu chukua VW Touareg 3.0Tdi.
Taa haiwezi kuwaka bila tatizo.Mbona kuna jamaa kanikatisha tamaa kwenye dashboard taa zinawaka sana hata bila tatizo kubwa
Zote ni gari nzuri na zina speed ambayo hutaweza kufikia ukomo wake kwa barabara zetu labda kama unataka kifo. ni gari zinazodumu endapo utazingatia kufanya service kwa wakati na kuweka vipuri original pindi vinapotakiwa kubadilishwa. Gari yoyote inahitaji matunzo na umakini wa kununua vipuri pamoja na fundi.... mimi nimetumia sana VW, ila hata BMW x.3. Nakushauri Chukua VW.Wadau mwenye ujuzi na Volkswagen -Tuareg V6 na BMW X5 atujuze kidogo
Taa huwaka kukuambia kwamba kuna tatizo... ila kuwaka taa sio mwisho wa maisha.Taa haiwezi kuwaka bila tatizo.
Njoo PM nikupe namba ya muuzaji.Spare za tuourage za rahisi ni wapi mkuu maana mi nduvini wananipiga bei sababu wananiambia hizi model hazijasambaa lakini mi naziona sana uraiani
I agree with you !!
Mkuu nasikia zinasumbua sana kwenye gearbox nilitaka kuagiza jamaa akanishauri niache kabisa bora nichukue vanguardTaa haiwezi kuwaka bila tatizo.
Acha kusikiliza watu waliozoea Toyota. Hizi VW Touareg zilizozagaa mjini nazo zina tatizo la gearbox? Zipo hadi namba B zinatembea. Gari matunzo yako.Mkuu nasikia zinasumbua sana kwenye gearbox nilitaka kuagiza jamaa akanishauri niache kabisa bora nichukue vanguard
Mkuu kumbuka Toyota ni nyingi tegemea na spare ni nyingi pia. Kama ulishawahi kupita maeneo ya Mivinjeni kilwa road kuna mahali VW zimepaki kibao watu wameyatelekeza hapo sasa kutokana na uchache wake sikutegemea kuona yakiwa yametelekezwa garage kama toyota lazima kuna kitu ambacho hakiko sawaAcha kusikiliza watu waliozoea Toyota. Hizi VW Touareg zilizozagaa mjini nazo zina tatizo la gearbox? Zipo hadi namba B zinatembea. Gari matunzo yako.
Toyota zingekuwa haziharibiki Ilala kusingejaa used engine,gearbox etc au wanamuuzia nani zile?
Combination ya mafundi magumashi na wamiliki wasiojitambua ndio matokeo yake hayo. Gari ya maana utaipeleka chini ya mwembe?Mkuu kumbuka Toyota ni nyingi tegemea na spare ni nyingi pia. Kama ulishawahi kupita maeneo ya Mivinjeni kilwa road kuna mahali VW zimepaki kibao watu wameyatelekeza hapo sasa kutokana na uchache wake sikutegemea kuona yakiwa yametelekezwa garage kama toyota lazima kuna kitu ambacho hakiko sawa