Volkswagen GTI For Sale

Volkswagen GTI For Sale

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
4,087
Reaction score
4,535
German made,
Imported from UK.
For more enqueries tukutane through PM.
 
Umeweka taarifa zisizo na umuhimu umeacha za muhimu.Mwaka,Km,bei,namba ya simu na picha ya gari lenyewe
 
Umeweka taarifa zisizo na umuhimu umeacha za muhimu.Mwaka,Km,bei,namba ya simu na picha ya gari lenyewe

Mwaka 2005, mile 91000 bei mil 15.5 specification air bag 5, vw gti 5, 3 doors, sport car and unique
Phone:0713882384
 

Attachments

  • 1412674791490.jpg
    1412674791490.jpg
    66.5 KB · Views: 186
  • 1412674826833.jpg
    1412674826833.jpg
    65.8 KB · Views: 175
  • 1412674866131.jpg
    1412674866131.jpg
    66.7 KB · Views: 159
  • 1412674896186.jpg
    1412674896186.jpg
    63.2 KB · Views: 162
Ni haki kuuzwa bei hiyo arifu, katamu sana,japo hujaonesha picha za ndani kakiwa 'manual transmission' itakua poa sana,nina mdau sio mwenyeji humu ila naweza mshawishi
 
Ni haki kuuzwa bei hiyo arifu, katamu sana,japo hujaonesha picha za ndani kakiwa 'manual transmission' itakua poa sana,nina mdau sio mwenyeji humu ila naweza mshawishi

Ni manual transmission.
Kuhusu picha za ndani usijali ntazibandika pia soon,ina miezi mitatu toka iingie toka UK.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom