Voice of America yaikosoa NEC

Voice of America yaikosoa NEC

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,993
Reaction score
2,034
Voice of America yaikosoa NEC na utaratibu mzima wa uchaguzi Tanzania, yakirikuwa Tanzania haki haiji kwa njia ya kupiga kura ila ubabe na kutumia majeshi. ...NEC chanzo cha dhuruma.....
 
ni ukweli usiopingika NEC ni tawi la ccm tunashukuru ulimwengu umejua
 
Do uchaguzi tz umekuwa vita.... nilishangaa sana mambomu kupigwa kila mahali baada ya kura kumaliza kupigwa..... hii sio sawa kwa nchi ambayo watu wake ni wapole na hawana fujo.....
 
Duhh!! sijui Magufuli atapeleka wapi bakuli lake kuomba maana alikukowa akipita Kikwete na bakuli ndio hao wanaouponda uchaguzi huu na sidhani kama watakuwa tayari kutoa misaada yao kwa serikali iliyoingia madarakani kwa hila na wizi.
 
Hii ndio ile ya Stop Over??? au Order!
 
We know everything about their ambitions but they must understand, it's Tanzanians who live for their country. Our gas and other endowments will forever be ours other than any gang or a person whatsoever.
 
F@k! Yu
 
That being the case Why do you always go there begging?
 
Voice of America yaikosoa NEC na utaratibu mzima wa uchaguzi Tanzania, yakirikuwa Tanzania haki haiji kwa njia ya kupiga kura ila ubabe na kutumia majeshi. ...NEC chanzo cha dhuruma.....

kanye bogaaaa! kura million 2 mawakala mmeweka nchi nzima bado mmeibiwa hamko makini nyie
 
Back
Top Bottom