Voice navigation system NDDA w55 yagari haifanyi kazi - needs re boot disk. Tafadhali saidia ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Voice navigation system NDDA w55 yagari haifanyi kazi - needs re boot disk. Tafadhali saidia ushauri

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sambu, Jan 28, 2012.

 1. s

  sambu JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Gari limekuja na hii system lakini inaonekana kuhitaji CD ya ku reboot ili ifanye kazi. Nasikia kuna wanaofanya hii kazi. Tafadhali wana jf saidia hapa nimekwama.
   
 2. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  usipate shida ingia google type hiyo kitu pata maelezo ya uhakika then unaweza kudownload kupita google
   
Loading...