Vodacom wezi

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
721
Reaction score
530
Hawa jamaa wamezidi kutuibia yaani nimejaza vocha hapa na sijaitumia lakini cha ajabu kuangalia salio naona limepungua sana sasa tabia hizi mpaka lini jirekebisheni....
Wezi wezi wezi vodacom
 
Hili tatizo hata m limenipata sna mkuu. Unakuta unaweka vocha ya buku ukichek salio inakwambia iko 800 wanauzi sana hawa jamaa.
 
Utaratibu wa mitandao skuiz mbona nisheeeedah baraa hatari kwa jamii Ryan Lila siku wanna punguza saman ya pesa miezi Kitano nyuma kwa sh.500 ilikua mtu unaweza angalau uka on a imetumika pasipo kutoa lawama maana ulikua unapata mb 100 SMS 100 dk 20( Tigo na vodacom) lakin sasa ukiweka sh500 sawasawa umeweka 200 aya ulukua ukiwa na 1000 unapata mb1000 saw a na gb1 now ni mb 500( tigo na vodacom ) ambapo kwa sim zetu zasasa hazitosh kwa matumiz duuuh kama nimpira has time kabwa hatugusi mpira dk 90 zote nusu uwanja
 
kwa kweli airtel nawapa tano voda ni wezi halafu wanapenda kuburuza watu kwa mfano hapo ukiwapigia watakuambia data iko on na ukiwakatalia hujawasha data wanakukatia cm kisa hujakubaliana nao au wanaweza kukwambia subiri tutakurudishia then ndio imetoka mimi skuiz stumii tena voda nawaomba watanzania wenzangu mwachane na mtandao huu wa mwizi LOWASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…