Hivi yule jamaa aliyekuwa anawashtaki Voda aliishia wapi maana sasa hizi bando tunaibiwa sio mchezo. Hivi unawezaje kuuza mabando umeandika siku nzima, baada ya kununua meseji inakuja inasema bando linaisha saa kumi jioni. Baada ya masaa 24 umetumia masaa 6 bando nimenunua saa nne asubuhi limeisha saa kumi jioni.
Kama una download miziki, movies hazikai. All in all kuna wizi mwingi makampuni ya simu. Kesi inakwenda mahakamani soon pamoja na kuwa alikutana na makampuni juzi Wednesday, Thursday and Friday, kitu kama hicho. Kuna feedback humu ya progress ya Bashir Yakub anayetaka kuwashitaki.
Hawa Vodacom Tanzania ni wajinga na wezi sana. Dawa yao ni kuwakopa na kutowalipa.
Niliwakopa siku nyingi hata sikumbuki ni lini, nadhani karibia miezi 3 au 4 inapita bado sijawalipa na sitarajii kuwalipa kwa sasa.
Huwa wananikumbusha mara kwa mara kulipa deni kwa kunitumia ujumbe huu " Do you know by paying your previous debts of Tsh. 2400 fee inclusive, you can borrow more and enjoy other Vodacom services? Recharge your account now " ila nimejikausha tu.
Kwa sasa bando/vifurushi nanunua kupitia M-Pesa, wakini ban kutumia M-Pesa hapo wataniweza