Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #41 PTER said: Duh kwa wiki 14k mwezi 60k na bado dakika unazopewa ukiongea na watu watatu tu zimeisha. Halafu waziri wa bando anajitapa kuwa sisi bei yetu ya data ni cheap. Click to expand... Kuna siku hua natumia WiFi, kuna siku ya kuwa offline, dakika sijiungagi kabisa, sms za airtel buku mwezi mzima
PTER said: Duh kwa wiki 14k mwezi 60k na bado dakika unazopewa ukiongea na watu watatu tu zimeisha. Halafu waziri wa bando anajitapa kuwa sisi bei yetu ya data ni cheap. Click to expand... Kuna siku hua natumia WiFi, kuna siku ya kuwa offline, dakika sijiungagi kabisa, sms za airtel buku mwezi mzima
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #42 PTER said: Hiyo mitandao mingine iko slow sana kwenye internet Click to expand... Ndo changamoto ilipo
PTER said: Hiyo mitandao mingine iko slow sana kwenye internet Click to expand... Ndo changamoto ilipo
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,699 Reaction score 32,452 May 13, 2021 #43 cute eyes said: Kuna siku hua natumia WiFi, kuna siku ya kuwa offline, dakika sijiungagi kabisa, sms za airtel buku mwezi mzima Click to expand... Ok hapo sawa unapunguza costs za kununua dakika kila siku
cute eyes said: Kuna siku hua natumia WiFi, kuna siku ya kuwa offline, dakika sijiungagi kabisa, sms za airtel buku mwezi mzima Click to expand... Ok hapo sawa unapunguza costs za kununua dakika kila siku
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #44 PTER said: Hapo sawa kwa sisi ambao huwa tunakula chakula cha usiku macho yamelewa usingizi hicho hakitakuwa na matumizi Click to expand... Bado network ni ya kutafuta
PTER said: Hapo sawa kwa sisi ambao huwa tunakula chakula cha usiku macho yamelewa usingizi hicho hakitakuwa na matumizi Click to expand... Bado network ni ya kutafuta
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #45 PTER said: Ok hapo sawa unapunguza costs za kununua dakika kila siku Click to expand... Kwanza sina matumizi nazo
PTER said: Ok hapo sawa unapunguza costs za kununua dakika kila siku Click to expand... Kwanza sina matumizi nazo
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,699 Reaction score 32,452 May 13, 2021 #46 cute eyes said: Bado network ni ya kutafuta Click to expand... Hili ndiyo linalofanya niendelee kuibiwa na vodacom atleast wanainternet stable unaweza kutumia bila shida ila bei ndiyo mtihani na data kuisha haraka
cute eyes said: Bado network ni ya kutafuta Click to expand... Hili ndiyo linalofanya niendelee kuibiwa na vodacom atleast wanainternet stable unaweza kutumia bila shida ila bei ndiyo mtihani na data kuisha haraka
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,699 Reaction score 32,452 May 13, 2021 #47 cute eyes said: Kwanza sina matumizi nazo Click to expand... Wewe huwa haupigi simu ?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #48 PTER said: Hili ndiyo linalofanya niendelee kuibiwa na vodacom atleast wanainternet stable unaweza kutumia bila shida ila bei ndiyo mtihani na data kuisha haraka Click to expand... Yeah ikisoma 4G ni 4G haswa
PTER said: Hili ndiyo linalofanya niendelee kuibiwa na vodacom atleast wanainternet stable unaweza kutumia bila shida ila bei ndiyo mtihani na data kuisha haraka Click to expand... Yeah ikisoma 4G ni 4G haswa
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #49 PTER said: Wewe huwa haupigi simu ? Click to expand... Hapana
kkenzki JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 1,503 Reaction score 2,514 May 13, 2021 #50 hyperkid said: 15k 20gb mwezi Click to expand... Hiki unakipata kwenye menu gani Mkuu
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,315 May 13, 2021 #51 cute eyes said: Hapana Click to expand... Kwanini
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,699 Reaction score 32,452 May 13, 2021 #52 cute eyes said: Hapana Click to expand... Duh hii mpya kwangu
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #53 Singasinga said: Kwanini Click to expand... Namaliza kila kitu kwenye msg na kama kuna uhitaji sana naomba kupigiwa, au nikipewa dakika za offa
Singasinga said: Kwanini Click to expand... Namaliza kila kitu kwenye msg na kama kuna uhitaji sana naomba kupigiwa, au nikipewa dakika za offa
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #54 PTER said: Duh hii mpya kwangu Click to expand... Sio mpenzi wa kuongea na simu kabisa
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 May 13, 2021 #55 Tigo bado wanajifanya wajanja hawataki kupunguza. Anaetumia mutandao ya tigo pole yake.
becknature JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 707 Reaction score 898 May 13, 2021 #56 Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu.
Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 May 13, 2021 #57 becknature said: Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu. Click to expand... Hongera
becknature said: Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu. Click to expand... Hongera
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,603 Reaction score 60,855 May 13, 2021 #58 Dalmine said: Anaetumia mutandao ya tigo pole yake Click to expand... kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi niko eneo ambalo net za mitandao 'mingi' iko slow sana ( chini ya 34kbps ), isipokua Tigo ( naona work-load imepungua kwakua bando ni ghali ) waendelee kukaba ivyo-ivyo
Dalmine said: Anaetumia mutandao ya tigo pole yake Click to expand... kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi niko eneo ambalo net za mitandao 'mingi' iko slow sana ( chini ya 34kbps ), isipokua Tigo ( naona work-load imepungua kwakua bando ni ghali ) waendelee kukaba ivyo-ivyo
K kiula neema Member Joined Mar 22, 2021 Posts 71 Reaction score 105 May 13, 2021 #59 becknature said: Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu. Click to expand... Wanaupendeleo Sana sijui Ni kigezo gani wanaangalia kweli wengine wamepunguziwa na wengine wengi bado nimewapigia simu Eti wanasema wanaenda kwa awamu Ni ujinga mtupu.
becknature said: Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu. Click to expand... Wanaupendeleo Sana sijui Ni kigezo gani wanaangalia kweli wengine wamepunguziwa na wengine wengi bado nimewapigia simu Eti wanasema wanaenda kwa awamu Ni ujinga mtupu.
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 May 13, 2021 #60 becknature said: Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu. Click to expand... Kwa sasa, naiona halotel inaafadhali.
becknature said: Mimi naona tigo na voda zangu zote wamenipa offer sawa alafu ndio mitandao ambayo natambulika, now nimerudi kwenye mitandao yangu. Click to expand... Kwa sasa, naiona halotel inaafadhali.