Vodacom Wapunguza Unit

Gideone

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
522
Reaction score
715
Mwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
 
Halafu hawa nimesikia kuna kampuni wanataka kuinunua kwa wasipobadirika watapata shida sana
 
Mwanzo Unit 5 ni dakika 1 mitandao yote saivi unit 50 ndio dakika 1, voda mmezingua
Acha uongo unawaharibia wenzio biashara mbona mi nmechezi bado ni unit 5 ndo sawa na dakiki 1 ya mitndao yote na unit 1 ni sawa n dkk 1 ya voda kwa voda
 
Sio kweli naomba uthibotishe kwa screen shot mkuu hapa wote tuone
Ni kweli kabisa anachosema,kifurushi cha pinduapindua ilikuwa voda-voda unit 1=dk1,voda kwenda makampuni mengine unit 5= dk 1 sasa hivi voda kwenda makampuni mengine unit 50 = dk 1
 
Ni kweli kabisa anachosema,kifurushi cha pinduapindua ilikuwa voda-voda unit 1=dk1,voda kwenda makampuni mengine unit 5= dk 1 sasa hivi voda kwenda makampuni mengine unit 50 = dk 1
Hapa Kuna Jambo haliko sawa.

Mwanzo ilikuwa 5x = 1
Sasa 50x = 1; kwa hesabu za sisi laymen, kuna ongezeko la units MARA KUMI. Sasa Kuna upungufu ama ongezeko?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…