Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Umewasiliana nao kuwaeleza ?
Nimewasiliana nao. Hata mtu wa huduma kwa wateja hajui cha kujibu. Niko porini kwa sasa ila nitaenda physically vodashop nikirudi town.
Sure, network ya kawaida inaweza kuwepo lakini network ya internet ikawa haipo!Maana yake hakuna coverage huko, that's 3G/Wimax haijawa installed kwenye tower ya karibu na huko ulipo, solution ni kwao ku-instal huko kama itakuwa ni economically viable.