VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

Guys coool down, inaonekana kulikuwa na tatizo la kiufundi pale vodacom. wamesharekebisha na sasa inakata hela vizuri. Pia namba ya kuchangia ni 15710 wengine wamequote tofauti.
Tuma neno CHADEMA kwenda namba hiyo utakatwa Tsh. 350/= tu.
Endeleeni kukiwezesha chama!!!!
Tuwasameheni bureeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Mimi nashauri Chadema itangaze kuwa kuanzia leo wanachama wake wajiondoe Vodacom.Wanakaribishwa Zain,Tigo na Zantel.Huduma za kuchangia zipo pia.:smile-big:

ukiwa tigo unachangia vipi
ukiwa zain unachangia vipi

leten habari ziwe waiz watu watachangia jamani
 
SASA HIVI IKO SAFI; NAONA WAMESIKIA KILIO CAH WATU;

Andika Chadema kwenda 15710
 
MOD wajulishwe watu, sasa wanaweza kuchangia bila shida nimejaribu imefanya kazi; fanyeni hala hala muda ndio huu
 
Nimepokea massage ifuatayo kutoka vodacom:

"samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama chadema haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo ya kiufundi.tunaomba utume mchango wako tena. Asante!"


wakati nilichangia almost one week one, kwa style hii tutafika.
 
Kila nikituma sms ya kuchangia CHADEMA kupitia VODACOM huwa napata ujumbe huu, "Samahani kwa usumbufu, mchango wajo kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo ya kifundi. Tuna omba utume mchango wako tena. Ahsante!" ila nikajaribu kutuma kwenda kwenda kuchangia CCM mchango unapokelewa je hizi si hujuma za wazi?
 

Vodacom wanatumika waujumu chadema
Vodacom go to hell...... God will Judge you
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao












 

Mkuu naona umekuwa BANNED
Hapo kwenye RED inaweza kutokea tena
mana nasikia watu wanapoyuma michango kwa Mpesa zinagoma
sijui hii inaweza kuwa kweli?
 
Kumbe bado tunamtajirisha rostam?
Kwa ushenzi wanaofanya wa kutuhujumu wana chadema, bado siku kadhaa nitatupilia mbali laini ya voda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…