vodacom wameamka sasa

vodacom wameamka sasa

novela

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
42
Reaction score
11
HABARI NJEMA! Dakika za Cheka Bombastik za kupiga mitando yote Tanzania zimerudi. Piga *149*01# sasa kuchagua kifurushi upendacho! Vodacom, Kazi ni Kwako!
 
HABARI NJEMA! Dakika za Cheka Bombastik za kupiga mitando yote Tanzania zimerudi. Piga *149*01# sasa kuchagua kifurushi upendacho! Vodacom, Kazi ni Kwako!

Fafanua basi zimerudi vipi na kwani zilikuaje?
 
katika vifurushi vyao vya cheka bombastik walipungunguza sana sekunde za kupiga kwenda mitandao yote na kuongeza za kupiga voda kwenda voda.

naona wameamua kujirekebisha baada ya kuona watu wanalalamika na hata kuhama mtandao.
 
sijaona badiliko la maana zaidi naona wanaweweseka weweseka tu. wanatuibia tu
 
jamani hili Tangazo nimeliona facebook hayo madongo watu wanyotoa kwa voda mpaka inatia huruma.

Airtel strategy yao ni kulimiliki soko na wanchokifanya kwasasa nitaonekana mjinga kama sijawakubali. they are so cheap myfriend
 
...hakuna watu nisio waamini kama voda,wezi kwelikweli,sijui wanatafuta hiyo bil 30 waliyoahidi kwa serikali...?
 
HABARI NJEMA! Dakika za Cheka Bombastik za kupiga mitando yote Tanzania zimerudi. Piga *149*01# sasa kuchagua kifurushi upendacho! Vodacom, Kazi ni Kwako!
Vodacom ni wezi!
Wamejidhalilisha kwa matukio ya wizi kwenye akaunti za wateja.
 
Back
Top Bottom