Acha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
Wanaangalia matumizi yako. Mfano mimi walivyobdili vifurushi nikapotea kabisa. Walipokuja kubadili tena baada ya kelele za watu kwangu napewa 1.2Gb kwa 1000 siku 3, wakati kuna jamaa yangu ye anapewa 1.2Gb kwa 3000. Kama walizoea wewe unanunua kifurushi cha sh 3000 kila baada ya siku 1 au 2 lazima wakupe kifurushi kidogo kwa bei kubwa na kama ulizoea kununua kifurushi baada ya wiki 3 lazima wakuvute.
Acha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
Wangejuwa kigoma ndiko Mungu huanza kuibariki inchi hii hata wasinge sema, maana ni mangapi yametokea mipakani lakini hatukudhurika, ebora, mara magonjwa mengi si hivyo tu hatari ya kuishi na wakimbizi but steel tupo salama,
Du sijatumia voda miaka Sasa, Tokea wanipandishie bei ya ya kwako tu, walikuwa wananiuzia vifurushi buku au buku jero, wakapandisha mpaka kifurushi Cha chini kikawa 10000. Miaka Sasa siungi bando la voda,