Bado mnaendelea kubanabana tu?
Hamumuoni Airtel?
Kwa 70K anatupa 25Mbps.
Kwa 100K anatupa 40Mbps.
View attachment 3520237
Huwa najiuliza kwanini wasizipe uwezo tu lakini zetu za kawaidaUjinga wa voda wanalazimisha mpka uwe na router
Hapana mkuu, zilikuwa hazikubali, sijui kwa siku hizi!Line zao zinakubali kwenye simu?
Mkuu naomba ## za menu hiiBado mnaendelea kubanabana tu?
Hamumuoni Airtel?
Kwa 70K anatupa 25Mbps.
Kwa 100K anatupa 40Mbps.
View attachment 3520237
Menu ni ileile ya Airtel, kisha unaenda namba 7.Mkuu naomba ## za menu hii
Hv inawezekana kuiunga namba ya airtel bila kuwa na router?Menu ni ileile ya Airtel, kisha unaenda namba 7.
Ila kama hauna namba iloungwa na unlimited hauwezi kuaccess hivi vifurushi.
Kigezo uwe na router(device yako) na huduma hii ni PREPAID sio POSTPAIDView attachment 3520231hii ya 70000 nawezaje kujiunga ikiwa niko kwenye kifurushi ya 115,000
Nipo nao kwa sasa, ndo nimeanza mwezi huu, hadi sasa nawapa kongole, wapo vizuri sana.Airtel yupo vizuri mno