shamp
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 225
- 215
Samahani wakuu nataka kujua kwa aliejiunga na mtandao wa Vodacom ya mwanachuo vifurushi vyake vipoje na huchukua mda gan kukamilika mana naambiwa vifurushi vyake vya chuo vizuri wengne wanasema sawa tu na laina ya kawaida naomba mwenye kulijua hili
:Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
:Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app