M mazaga one JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 2,603 Reaction score 4,190 Dec 21, 2017 #1 Mtandao wenu unasumbua kwa kila kitu,iwe kupiga na tukija kwenye internet ndio kabisa unaweza ukatupa line kabisa,rekebisheni tatizo maana vijana wengi wanahamia mitandao mingine kwa kukwepa adha ya mtandao wenu.
Mtandao wenu unasumbua kwa kila kitu,iwe kupiga na tukija kwenye internet ndio kabisa unaweza ukatupa line kabisa,rekebisheni tatizo maana vijana wengi wanahamia mitandao mingine kwa kukwepa adha ya mtandao wenu.
A asante mbagule njehani Member Joined Nov 27, 2017 Posts 29 Reaction score 17 Dec 21, 2017 #2 Kweli asee nilidhani npo peke yangu mwenye hlo tatizo,wajirekebishe ndo ntarudi voda now npo halotel ,
Kweli asee nilidhani npo peke yangu mwenye hlo tatizo,wajirekebishe ndo ntarudi voda now npo halotel ,