Vodacom tutendeeni haki wateja wenu. Mnapandishaje Cost 25% kimya kimya bila kutujulisha? Huu sio wizi wa mchana Kweupe? TCRA mnalijua hili?

Pole sana Pascal Mayalla but nikukumbushe tu 'RUDI NYUMBANI KUMENOGA"

Ukitafuta kile ki MI-FI kile au ukitia ki-chip cha TTCL-aaaah, kwa hapa mjini unasahau-
tena wenzio tunakale kabandle ka 2000 unapata GB 3 sasa ukika add+add+add+add kwa hiyo 15,000 yako si unapata kama 21GB
Ukitoka Posta ukiingia Magomeni imekata ndiyo tatizo la TTCL
 
Wanabodi,
Kwa kawaida mimi huwa nanunua bando za voda weekly kwa 15,000 unapata GB 10.

Kwanza sometimes hiyo bando huwa inakata kabla hata wiki haifika na nikifanya assessment ya matumizi yangu, GB 10 huwa haijafika, lakini kwa sababu huwa nawasha tethering silalamikii kuibiwa.

Monday nimenunua bando yangu ya 10 GB, sijashare, sija download, nime upload few clips hazifiki hata 2 GB, japo kuna siku nilipitiwa usingizi simu ilikaa jf 24/7, leo naamka na sms ya bando imekata!.

Ni katika ku recharge bando ya 15,000 leo inauzwa 20,000!. Nikacheki bando nyingine zote zimepandishwa kwa 25% increase!. Mbona hatukuambiwa?!.

Hivi makampuni ya simu yanajipandishia tuu bei kiholela na regulator yupo, hii imekuaje?.
Kumetokea changes gani kwenye shilingi ya Tanzania against US. $ kusababisha such increase ya 25%?!.

TCRA tusaidieni jamani haya makampuni mengine ya simu, sio yanatunyonya, yanatunyonga!.

NB. Kwa vile media ni nyingi kama walitangaza nyongeza hii mimi ndio sikuiona, mtanisamehe bure.

P.
Nimekuwa ninatumia Vodacom kwa miaka karibu 20 na hivi sasa seriously ninafikiria kubadilisha mtandao.
 
Wanabodi,
Kwa kawaida mimi huwa nanunua bando za voda weekly kwa 15,000 unapata GB 10.
Kwanza sometimes hiyo bando huwa inakata kabla hata wiki haifika na nikifanya assessment ya matumizi yangu, GB 10 huwa haijafika, lakini kwa sababu huwa nawasha tethering silalamikii kuibiwa.
Monday nimenunua bando yangu ya 10 GB, sijashare, sija download, nime upload few clips hazifiki hata 2 GB, japo kuna siku nilipitiwa usingizi simu ilikaa jf 24/7, leo naamka na sms ya bando imekata!.
Ni katika ku recharge bando ya 15,000 leo inauzwa 20,000!. Nikacheki bando nyingine zote zimepandishwa kwa 25% increase!. Mbona hatukuambiwa?!.
Hivi makampuni ya simu yanajipandishia tuu bei kiholela na regulator yupo, hii imekuaje?.
Kumetokea changes gani kwenye shilingi ya Tanzania against US. $ kusababisha such increase ya 25%?!.
TCRA tusaidieni jamani haya makampuni mengine ya simu, sio yanatunyonya, yanatunyonga!.
NB. Kwa vile media ni nyingi kama walitangaza nyongeza hii mimi ndio sikuiona, mtanisamehe bure.
P.
matumizi yangu mitandaoni si makubwa, bundle ya 1500 nilipewa GB 1 kwa wiki. Nimewahama majuzi baada kukuta imetolewa na kuwekwa bindle ya KB 500 kwa 2500
 
Wanabodi,
Kwa kawaida mimi huwa nanunua bando za voda weekly kwa 15,000 unapata GB 10.
Kwanza sometimes hiyo bando huwa inakata kabla hata wiki haifika na nikifanya assessment ya matumizi yangu, GB 10 huwa haijafika, lakini kwa sababu huwa nawasha tethering silalamikii kuibiwa.
Monday nimenunua bando yangu ya 10 GB, sijashare, sija download, nime upload few clips hazifiki hata 2 GB, japo kuna siku nilipitiwa usingizi simu ilikaa jf 24/7, leo naamka na sms ya bando imekata!.
Ni katika ku recharge bando ya 15,000 leo inauzwa 20,000!. Nikacheki bando nyingine zote zimepandishwa kwa 25% increase!. Mbona hatukuambiwa?!.
Hivi makampuni ya simu yanajipandishia tuu bei kiholela na regulator yupo, hii imekuaje?.
Kumetokea changes gani kwenye shilingi ya Tanzania against US. $ kusababisha such increase ya 25%?!.
TCRA tusaidieni jamani haya makampuni mengine ya simu, sio yanatunyonya, yanatunyonga!.
NB. Kwa vile media ni nyingi kama walitangaza nyongeza hii mimi ndio sikuiona, mtanisamehe bure.
P.
Yaani wewe bado unatumia voda kwa internet?
Hamia TTCL
 
Naona huu uzi umesaidia maana leo wamerudisha bei za zamani.
 
Kwanza hao voda, bando lao la cheka la sh 3000, likiisha, unatumiwa msg, bando lako la sh 2800 limekwisha, huu ni ujambazi wa zaidi yangu.
KWA KWELI NI HATARI SANA ILA KUNA MLEVI MMOJA ALIKUWA ANASEMA ETI CCM WA HISA 50% HAPO VODACOM NDIYO MAANA TUONA TUNAYO YAONA!!!!!!!
 
Voda wapi vzr sehemu kubwa lakin mapungufu yap 1. Mteja unaetumia vocha nyingi kwa mda mfupi kwenye kifurushi cha ya kwako tu bei inapanda zaidi badala ya kukupunguzia. Pili gharama za kutuma na kutolea Mpesa ni kubwa sana zipunguzwe tafadhali
 
Wanabodi,
Kwa kawaida mimi huwa nanunua bando za voda weekly kwa 15,000 unapata GB 10.

Kwanza sometimes hiyo bando huwa inakata kabla hata wiki haifika na nikifanya assessment ya matumizi yangu, GB 10 huwa haijafika, lakini kwa sababu huwa nawasha tethering silalamikii kuibiwa.

Monday nimenunua bando yangu ya 10 GB, sijashare, sija download, nime upload few clips hazifiki hata 2 GB, japo kuna siku nilipitiwa usingizi simu ilikaa jf 24/7, leo naamka na sms ya bando imekata!.

Ni katika ku recharge bando ya 15,000 leo inauzwa 20,000!. Nikacheki bando nyingine zote zimepandishwa kwa 25% increase!. Mbona hatukuambiwa?!.

Hivi makampuni ya simu yanajipandishia tuu bei kiholela na regulator yupo, hii imekuaje?.
Kumetokea changes gani kwenye shilingi ya Tanzania against US. $ kusababisha such increase ya 25%?!.

TCRA tusaidieni jamani haya makampuni mengine ya simu, sio yanatunyonya, yanatunyonga!.

NB. Kwa vile media ni nyingi kama walitangaza nyongeza hii mimi ndio sikuiona, mtanisamehe
vodacom wanatupiga kabisa kwa hili kweli cjui tuendelee na jiondoe vodacom?
 
Wanabodi,
Kwa kawaida mimi huwa nanunua bando za voda weekly kwa 15,000 unapata GB 10.

Kwanza sometimes hiyo bando huwa inakata kabla hata wiki haifika na nikifanya assessment ya matumizi yangu, GB 10 huwa haijafika, lakini kwa sababu huwa nawasha tethering silalamikii kuibiwa.

Monday nimenunua bando yangu ya 10 GB, sijashare, sija download, nime upload few clips hazifiki hata 2 GB, japo kuna siku nilipitiwa usingizi simu ilikaa jf 24/7, leo naamka na sms ya bando imekata!.

Ni katika ku recharge bando ya 15,000 leo inauzwa 20,000!. Nikacheki bando nyingine zote zimepandishwa kwa 25% increase!. Mbona hatukuambiwa?!.

Hivi makampuni ya simu yanajipandishia tuu bei kiholela na regulator yupo, hii imekuaje?.
Kumetokea changes gani kwenye shilingi ya Tanzania against US. $ kusababisha such increase ya 25%?!.

TCRA tusaidieni jamani haya makampuni mengine ya simu, sio yanatunyonya, yanatunyonga!.

NB. Kwa vile media ni nyingi kama walitangaza nyongeza hii mimi ndio sikuiona, mtanisamehe bure.

P.
bora tuendelee na hashtag jiondoe vodacom maaana hawa jamaa hapana
 
Back
Top Bottom